Skip to content
Friday, February 26, 2021
Latest:
  • Mashua zote katika ziwa Naivasha kusajiliwa
  • Watu 410 zaidi waambukizwa Covid-19 hapa nchini
  • Arsenal yaangukia Olympiakos wakati Man u wakikabana na AC Milan katika Europa league 16 bora
  • Timu ya marathon ya olimpiki yapata ufadhili wa sh Milioni 1
  • Nkechi Blessing na Bobrisky warushiana maneno
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Gigy Money

Burudani 

Eric Omondi apimana nguvu na Diamond Platnumz

26 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Eric Omondi, Gigy Money, Wife Material

Mchekeshaji huyo wa nchi ya Kenya anamtania mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz kwa kile ambacho anakitaja kuwa kushambulia Afrika mashariki

Read more
Burudani 

Wasafi Tv kurejea mwisho wa mwezi!

4 February 2021 Marion Bosire 0 Comments BASATA, Diamond Platnumz, Gigy Money, TCRA, Wasafi Tv

Adhabu iliyotolewa kwa kituo cha runinga cha Wasafi nchini Tanzania imerekebishwa. Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania TCRA ilitangaza hayo leo

Read more
Burudani 

Gigy Money amlaumu Beyonce

8 January 20218 January 2021 Marion Bosire 0 Comments BASATA, Diamond Platnumz, Gigy Money, Tanzania, TCRA, Wasafi Media

Baada ya mwanamuziki wa Tanzania kwa jina Gigy Money kupata adhabu kali kutoka kwa Baraza la Sanaa nchini Tanzania –

Read more
Burudani 

Wasafi Tv yafungwa kwa miezi sita

6 January 20215 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Gigy Money, TCRA, Wasafi fm, Wasafi Tv

Kituo cha runinga kwa jina Wasafi Tv cha Tanzania kinachomilikiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz kimefungiwa kisipeperushe vipindi na matangazo kwa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version