Skip to content
Thursday, February 25, 2021
Latest:
  • Musa Otieno ana imani ya Kenya kufuzu AFCON 2022
  • Firirinda Weekend!
  • Brigid Kosgei ateuliwa kuwania tuzo ya 22 Laureus
  • Ruto aahidi kumsaidia “Cucu wa Gikandu”
  • Nkechi Blessing aomba msamaha hadharani
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

FUFA

Michezo 

Uganda yaipakata Msumbiji AFCON U 20

15 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, CAF, FUFA, uganda

Timu ya Uganda maarufu kama Hippos imeanza vyema mechi za kundi A katika mashindano ya kuwania kombe la AFCON kwa

Read more
Michezo 

East Afrika Derby Uganda kukabana koo na Rwanda CHAN

18 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CHAN, FERWAFA, FUFA, Rwanda, uganda

Miamba wa Afrika Mashariki Amavubi ya Rwanda na Uganda Cranes watamenyana jumatatu usiku  katika mchuano wa pili wa kundi C

Read more
Michezo 

Uganda Cranes yaikwaruza Zambia mechi ya kujinoa kwa CHAN

5 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments 2020, Cameroon, CHAN, FUFA, KBC, Uganda Cranes

Uganda Cranes iliibwaga Chipopolo ya Zambaia mabao 2-0 Jumatatu jioni katika mechi ya pili ya mashindano ya kutangulia makala ya

Read more
Michezo 

Uganda Cranes yadunda Cameroon kuwania kombe la CHAN

30 December 202030 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CHAN, FUFA, Uganda Cranes

Timu ya taifa ya Uganda Cranes iliwasili Cameroon Jumanne tayari kushiriki michuano ya kombe la Chan kuanzia tarehe 16 mwezi

Read more
Michezo 

Uganda yaipakata Kenya 5-0 na kutinga nusu fainali CECAFA U 17

16 December 202016 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CAF, Cecafa u 17, fkf, FUFA

Mabingwa watetezi Uganda wamefuzu kwa nusu fainali ya michuano ya kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 17 

Read more
Michezo 

Viboko wa Uganda waitafuna Tanzania na kunyakua kombe la CECAFA 2020

2 December 20202 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, CAF, Cecafa u 20, FUFA, Tanzania, TFF, uganda

Timu ya Uganda kwa Chipukizi walio chini ya umri wa miaka 20 maarufu kama Hippos ,ndio mabingwa wa mwaka huu

Read more
Michezo 

Viboko wa Uganda kukabiliana na Ngorongoro Heroes ya Tanzania fainali ya CECAFA

2 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, Arusha, CAF, Cecafa u 20, fkf, FUFA, Ngorongoro Heroes, SSFA, Tanzania, TFF, Uganda Hippos

Fainali ya kuwania  kombe la Cecafa kwa vijana  chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 itapigwa Jumatano  alasiri baina ya mabingwa

Read more
Michezo 

Kenya kupambana na Uganda nusu fainali ya CECAFA Jumatatu

30 November 202029 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, Cecafa u 20, fkf, FUFA, Kenya, South Sudan, SSFA, Tanzania, TFF, uganda

Chipukizi wa Kenya walio chini ya umri wa miaka 20 watashuka uwanjani Black Rhino Academy sports Complex Jumatatu Novemba 30 

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version