Skip to content
Friday, February 26, 2021
Latest:
  • Kenya Cup Kung’oa nanga Jumamosi kwa mechi 4
  • Uganda Hippos waing’ata Burkina Faso na kutinga nusu fainali AFCON U 20
  • Mamito apeleka ucheshi nchini Tanzania
  • Eric Omondi apimana nguvu na Diamond Platnumz
  • Jamii ya Ogiek yadai kubaguliwa katika usajili wa makurutu wa polisi
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

France

Burudani 

Kibao cha kuenzi mamake Koffi olomide kuzinduliwa leo

25 October 2020 Marion Bosire 0 Comments Congo, Fally Ipupa, France, Koffi Olomide, Maman Amy

Wiki moja baada ya mazishi ya mamake mzazi, mwanamuziki wa nchi ya Congo Koffi Olomide yuko tayari kuzindua kibao cha

Read more
Burudani 

Mipango ya mazishi ya mamake Koffi Olomide

15 October 2020 Marion Bosire 0 Comments Congo, France, Kinshasa, Koffi Olomide

Mwanamuziki wa nchi ya Congo Koffi Olomide kupitia kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii ametangaza mipango ya mazishi ya mamake.

Read more
Michezo 

Mabingwa wa dunia Ufaransa wakabwa koo na Ureno

12 October 202012 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments France, Portugual, Uefa Nations league

Mabingwa wa dunia Ufaransa walilazimishwa kutoka sare tasa nyumbani dhidi ya mabingwa wa Ulaya Ureno katika mechi ya kundi A

Read more
Habari 

Rais Kenyatta awarai wawekazi wa Ufaransa kuchagua Kenya kwa uwekezaji wao

3 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Emmanuel Macron., France, Franck Riester, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amewahimiza wawekezaji wa Ufaransa kuchagua Kenya kwa uwekezaji wao barani Afrika na kuwahakikishia usaidizi wa serikali ya

Read more
Burudani 

Mwalimu akatazwa kufunza chekechea kwa sababu ya “tattoo”

3 October 2020 Marion Bosire 0 Comments France, Sylvain Helaine, Tattoo

Mwalimu mmoja wa shule ya msingi nchini Ufaransa au ukipenda France maajuzi alikatazwa asifunze watoto wadogo au ukipenda watoto wa

Read more
Habari 

Rais Kenyatta: Rasilimali kubwa zaidi Afrika ni idadi kubwa ya vijana

2 October 20201 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments BPI france Inno Generation, Emmanuel Macron., France, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amekariri kwamba rasilmali kubwa zaidi barani Afrika ni idadi kubwa ya vijana wala sio mali yake asili.

Read more
Habari 

Rais Kenyatta afanya ziara rasmi nchini Ufaransa

1 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Emmanuel Macron., France, Uhuru Kenyatta, Vinci Concessions.

Rais  Uhuru Kenyatta alianza ziara  rasmi  nchini  Ufaransa Jumatano jioni  kwenye   Ikulu  ya    Elysee,    ambapo alikaribishwa  na  mwenyeji wake, Rais wa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version