Skip to content
Monday, January 25, 2021
Latest:
  • Ingwe yaichuna Sharks huku KCB wakiwazima Western Stima
  • Ruto amtaka Raila kukoma kukosoa serikali ya Jubilee kwenye mikusanyiko ya kisiasa
  • Jisafishe bila kumtaja Ruto, Duale amkanya Kalonzo
  • KLM Azindua Video ‘Mungu Saidia’ Akisema Ukombozi wa Afrika ni Sasa Hivi
  • Kenya yaripoti visa 85 vipya vya maambukizi ya COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

fkf

Michezo 

Katibu mkuu wa FKF Barry Otieno apigwa marufuku ya miezi 6 na CAF kwa utundu

23 January 202123 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, fkf

Sherikisho la kandanda barani Afrika Caf limempiga marufuku ya miezi 6 katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini Kenya FKF

Read more
Michezo 

Omollo acheza dakika 90 katika mechi yake ya kwanza ya ligi kuu Uturuki

19 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Ezrum BB, fkf, Johanna Omolo

Kiungo wa Kenya Johanna Omollo alicheza dakika zote 90  katika mechi ya kwanza ya ligi kuu ,huku timu yake ya

Read more
Michezo 

Omolo asajiliwa na Erzrum BB yaUturuki

14 January 202114 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments fkf, Johanna Omolo, Johanna Omolo foundation

Kiungo wa Kenya Johanna Omolo amejiunga na klabu ya Buyuksehir Belediye Erzurumspor  inayoshiriki ligi kuu Uturuki  kutoka  Cercle Brugge  ya

Read more
Michezo 

Olunga ajiuanga Al Dhuhail Fc ya Qatar

12 January 202112 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Al Dhuhail Sc, fkf, Olunga

Mshambulizi wa Harambee Stars Michael Olunga amejiunga na Al Dhuhail Sports Club ya Qatar akitokea  Kashiwa Reysol ya Japan aliyoichezea

Read more
Michezo 

Marefa wawili wa Kenya kusimamia makala ya 6 ya CHAN nchini Cameroon

11 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments AFCON 2019, CAF, CHAN 2021, Dkt Peter Waweru Kamaku, fkf, Gilbert Cheruiyot

Waamuzi wawili wa humu nchini Dkt  Peter Waweru  Kamaku na Gilbert Cheruiyot wameteuliwa kusimamia makala ya 6 ya fainali za

Read more
Michezo 

Bidco United wakaangwa na wanabenki KCB

9 January 20219 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Bidco United Fc, fkf, Kcb

Klabu ya KCB imedumisha rekodi ya asilimia 100 ligini msimu huu baada ya kuwakaanga Bidco United bao 1-0 katika mechi

Read more
Michezo 

Ligi ya FKF Division 1 kuanza Jumamosi

8 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments fkf, FKF Division one

Msimu mpya wa ligi kuu FKF division one utaanza Jumamaosi hii kwa jumla ya meci 16 baada ya mapumziko marefu

Read more
Michezo 

Onyango kucheza hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza

7 January 20217 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, fkf, Joash Onyango, Simba sc

Beki Kisiki Joash Abong’o  Onyango wa Kenya alijiunga na mabingwa wa Tanzania klabu ya Simba na ndani ya msimu wake

Read more
Michezo 

Casa Mbungo atua Bandarini kupiga ukufunzi kwa miaka miwili

4 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Bandari Fc, fkf

Andre Cassa Mbungo ameteuliwa  kuwa kocha mpya wa kilabu cha Bandari FC chenye makaoa yake pwani ya Kenya kwa kandarasi

Read more
Michezo 

Wachezaji wa Gor Mahia wagoma

2 January 20212 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments fkf, Gor Mahia Fc

Wachezaji wa Gor mahia wangali wamesusia mazoezi wakitaka walipwe mshahara wao wa miezi mitatu huku wakitishia kutocheza mchuano wa marudio

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version