Categories
Michezo

Ligi ya FKF Division 1 kuanza Jumamosi

Msimu mpya wa ligi kuu FKF division one utaanza Jumamaosi hii kwa jumla ya meci 16 baada ya mapumziko marefu kutokana na janga la Covid 19.

Katika mechi za kufungua msimu Liberty Sports Academy dhidi  SS Assad  katika uwanja wa  GEMS Cambridge  kwenye Zone A ,huku Bungoma Superstars wakipambana na  Transfoc  katika  Zone B .

Jumapili  Gor Mahia Youth watawaalika  Zetech Titans katika uwanja wa  GEMS Cambridge grounds huku  St. Joseph’s Youth wakimenyana na  Green Commandos uwanjani Afraha.

Mechi za raundi ya kwanza

Zone A

Jumamosi

1. Liberty Sports Academy vs SS Assad (GEMS School Cambridge, 11 am)
2. Ligi Ndogo vs Kangemi Allstars (Ligi Ndogo Grounds, 3 pm)
3. Dummen Orange vs Congo Boys (Dummen Orange Grounds, 3 pm)
4. Naivas vs Vapor Sports ( Sameer Grounds, 3 pm)

Jumapili

1. Gor Mahia Youth vs Zetech Titans (GEMS School Cambridge, 11 am)
2. Balaji EPZ vs Administration Police(Stima Club, 3 pm)
3. Buruburu Sports vs Equity (Ruaraka Grounds, 3 pm)
4. Young Bulls vs Ruiru Hotstars ( Alaskan Grounds, 3 pm)

Zone B

Jumamosi

1. Bungoma Superstars vs Transfoc (Kiwanja Ndege Grounds, 2 pm)
2. GDC vs Bondo United (Nakuru Athletic Clubs, 2 pm)
3. Muhoroni Youth vs Mara Sugar (Muhoroni Stadium, 2 pm)
4. Egerton vs Bandani ( Egerton University, 2 pm)

Jumapili

1. St. Joseph’s Youth vs Green Commandos (Afraha Stadium, 2 pm)
2. MMUST vs Sindo United (Approved School, Kakamega 2 pm)
3. Zoo Youth vs Luanda Villa (Kimugu Pri. School, 2 pm)
4. Kamungei United vs Kona Rangers (Kamungei Sec. School, 2 pm)