Skip to content
Wednesday, March 3, 2021
Latest:
  • Mudavadi aibua wasiwasi kuhusu njama ya wizi wa kura Matungu
  • NOC-K na Kaunti ya Nairobi zasaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kukuza talanta cha OlympAfrica
  • Mashindano ya msururu wa dunia katika raga ya wachezaji 7 upande HSBC kuanza Mei
  • Ajuma Nasenyana asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
  • Mswada wa BBI kuwasilishwa katika Bunge la Kitaifa Alhamisi
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

FIFA

Michezo 

Uingereza yaruhusu tena mashabiki viwanjani

3 December 20203 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Fa, FIFA, uefa, UK

Baada ya subira ya miezi 8  ,hatimaye mashabiki watarejea uwanjani Emirates Alhamisi usiku kushuhudia mechi ya raundi ya tano ya

Read more
Michezo 

Uchanjaa wa Al Rayyan wakamilika kwa kipute cha kombe la dunia Qatar

3 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments 2022 FIFA world cup, Al Rayyan, FIFA, QATAR

Kamati andalizi ya fainali za kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar imetangaza  kukamilishwa kwa ujenzi kwa uwanja wa Al

Read more
Michezo 

Maombolezo ya Diop yaendelea

1 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, FIFA, Papa Dioub, SFA

Risala za rambi rambi zingali zinamiminika kumwomboleza mchezaji nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal Papa Bouba Diop

Read more
Michezo 

Maombolezo ya siku tatu yatangazwa Argentina kufuatia kifo cha Maradona

26 November 202026 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, FIFA, Maradona

Maombolezo  ya kitaifa ya siku tatu yameanza leo nchini Argentina kufuatia kifo cha gwiji wa soka Diego Maradona Jumatano jioni.

Read more
Michezo 

Rais wa CAF Ahmad Ahmad alishwa marufuku ya miaka mitano kwa Ufisadi

23 November 202023 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Ahmad Ahmad, CAF, FIFA

Kamati  ya maadili ya Shirikisho la Soka ulimwenguni (FIFA) imemfungia miaka mitano Rais wa CAF Ahmad Ahmad, kutojihusisha na masuala

Read more
Michezo 

Samba Boys wakosa adabu za mgeni na kuwatesa Uruguay

18 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Brazil, Conmebol, FIFA

Mabingwa mara tano wa dunia Brazil waliendeleza rekodi yao ya asilimia 100 waliposajili ushindi wa mabao 2-0  dhidi ya Uruguay

Read more
Michezo 

Droo ya kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 22 kuandiliwa Desemba 7

23 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments 2022 FIFA world cup, FIFA, uefa

Droo ya awali ya kufuzu kwa kombe la dunia nchini Qatar mwaka 2022 itaandaliwa  Desemba 7 mwaka huu mjini Zurich

Read more
Michezo 

Kinyang’anyoro cha kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2022 kundelea Amerika Kusini

13 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Conmebol, FIFA, Qatar world Cup 2022

Mechi za mzunguko wa pili hatua ya makundi kufuzu kwa dimba la dunia mwaka 2022 kuchezwa baina ya Jumanne usiku

Read more
Michezo 

Samba Boys waanza kwa makeke safari ya kwenda Qatar mwaka 2022

10 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Brazil, Conmebol, FIFA

Mabingwa mara tano wa dunia Brazil maarufu kama Samba Boys walianza vyema harakati za kufuzu kwa dimba la mwaka 2022

Read more
Michezo 

Ujenzi wa viwanja vya kombe la dunia wakaribia kukamilika

14 September 202014 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments FIFA, QATAR, world cup 2022

Viwanja 8 vitakavyotumika kuandaa mashindano ya kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar. Tayari viwanja vitatu vya Khalifa International, Al

Read more
  • Next →

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version