Skip to content
Wednesday, March 3, 2021
Latest:
  • Mudavadi aibua wasiwasi kuhusu njama ya wizi wa kura Matungu
  • NOC-K na Kaunti ya Nairobi zasaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kukuza talanta cha OlympAfrica
  • Mashindano ya msururu wa dunia katika raga ya wachezaji 7 upande HSBC kuanza Mei
  • Ajuma Nasenyana asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
  • Mswada wa BBI kuwasilishwa katika Bunge la Kitaifa Alhamisi
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Fa

Michezo 

Frank Lampard apigwa teke Chelsea huku Thomas Tuchel akimrithi

25 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Chelsea FC, Fa, Frank Lampard

Chelsea imemrusha meneja Frank Lampard huku  Thomas Tuchel  akitarajiwa kutwaa nafasi  yake ugani Stamford Bridge . Kulingana na mmiliki wa

Read more
Michezo 

West Brom yampiga teke Slaven Bilic

16 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Fa, Sam Alladyce, Westbrom

Slaven Bilic ndiye meneja wa kwanza kwenye ligi kuu Uingereza  kupigwa kalamu msimu  huu, baada ya kutimuliwa na klabu ya

Read more
Michezo 

Meneja wa zamani wa Liverpool Gerrard Houlier aaga dunia akiwa na umri wa miaka 73

14 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments EUFA, Fa, Gerrard Houllier

Meneja  wa zamani  wa  Liverpool Gerrard Houllier ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73 baada ya kuugua msururu wa

Read more
Michezo 

Uingereza yaruhusu tena mashabiki viwanjani

3 December 20203 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Fa, FIFA, uefa, UK

Baada ya subira ya miezi 8  ,hatimaye mashabiki watarejea uwanjani Emirates Alhamisi usiku kushuhudia mechi ya raundi ya tano ya

Read more
Michezo 

Mchuano wa Ligi kuu Uingereza kati ya Newcastle na Aston Villa waahirishwa kisa Covid 19

2 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Aston Villa, Fa, Newcastle United

Mchuano wa ligi kuu Uingereza Ijumaa hii baina ya Newcastle United dhidi ya Aston Villa katika uwanja wa St James

Read more
Michezo 

Pickford aponea kuadhibiwa kwa kumvunja Van Dijk

19 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments EPL, Fa, Pickford, Vargil Van Dijk

Kipa wa Everton Jordan Pickford aponea kuadhibiwa kwa kumvunja Van Dijk Mlinda lango wa  Everton Jordan Pickford ameepuka kuadhibiwa na

Read more
Michezo 

Pogba kusalia Old Traford hadi mwaka 2022

17 October 202017 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments EPL, Fa

Kiungo wa Manchester United Pual Pogba atasalia katika timu ya Manchester United hadi mwaka 2022 baada ya kuongeza mwaka mmoja

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version