Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Wahariri wadai Uhuru wa vyombo vya habari unavurugwa
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Eric Omondi

Burudani 

Coy Mzungu azawadiwa gari

28 February 202128 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Cheka Tu, Coy Mzungu, Eric Omondi, Eunice Mamito, Mc Jessy, Sammie Kioko, Wasafi Media

Mchekeshaji wa nchi ya Tanzania Coy Mzungu alizawadiwa gari na usimamizi wa Wasafi Media kampuni inayomilikiwa na Diamond Platnumz na

Read more
Burudani 

Mamito apeleka ucheshi nchini Tanzania

26 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Cheka Tu, Eric Omondi, Mamito, Mc Jessy, Salvado, Tanzania

Mchekeshaji wa Kenya Eunice Mamito yuko nchini Tanzania kwa ajili ya kuigiza kwenye tamasha kubwa la vichekesho nchini humo ambalo

Read more
Burudani 

Eric Omondi apimana nguvu na Diamond Platnumz

26 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Eric Omondi, Gigy Money, Wife Material

Mchekeshaji huyo wa nchi ya Kenya anamtania mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz kwa kile ambacho anakitaja kuwa kushambulia Afrika mashariki

Read more
Burudani 

Khaligraph amshinda eric Omondi

23 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Bomba Boxing Match, Eric Omondi, Kenya Charity Sweepstake, Khaligraph Jones

Wasanii hao wawili mmoja wa muziki mwingine wa uchekeshaji na uigizaji wamekuwa wakitangaza kwa muda kuhusu pigano hilo la ndondi

Read more
Burudani 

Shaffie Weru kulipia Tanasha deni

17 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Dana De Grazia, Eric Omondi, Shaffie Weru, Tanasha Donna

Mtangazaji Shaffie Weru ameahidi kulipia mwanamuziki Tanasha Donna deni analodaiwa na mpodozi wake. Shaffie anasema yeye na Tanasha ni marafiki

Read more
Burudani 

Tanasha amjibu Dana

16 February 202116 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Daba De Grazia, Eric Omondi, Nairobi Diaries, Tanasha Donna

Jana tulikujuza kuhusu tuhuma za mwanadada aliyekuwa mtangazaji wa runinga ya Ebru Dana De Grazia dhidi ya mwanamuziki Tanasha Donna.

Read more
Burudani 

Tanasha ameanikwa!

15 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Dana De Grazia, Eric Omondi, Show kwa Choo, Tanasha Donna

Mwanamuziki Tanasha Donna wa Kenya amejipata pabaya baada ya aliyekuwa mtangazaji wa runinga Dana De Grazia anayejiita Hustle goddess kwenye

Read more
Burudani 

Mercy Atis aingilia biashara ya chakula.

8 February 20218 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Amina Rabar, Eric Omondi, I dont wonna Know, Jalang'o, Mercy Atis

Mwanamuziki Mercy Atis ambaye alijipatia umaarufu kwa wimbo wake kwa jina “I don’t wonna know” sasa ameingilia biashara ya kuuza

Read more
Burudani 

Eric Omondi amtetea Churchill

5 February 20215 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Churchill, Eric Omondi, Khaligraph Jones

Mchekeshaji Eric Omondi amejitokeza kumtetea Daniel Ndambuki maarufu kama Churchill kutokana na shutuma dhidi yake kuhusiana na wachekeshaji ambao wamewahi

Read more
Burudani 

Shosholites, Eric Omondi

18 January 202118 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Covid-19, Eric Omondi, Mc Jessy, Shosholites, Tanzania, Wife Material

Baada ya kumalizana na kipindi cha awali ambacho kilichanganya wengi kwa jina “Wife Material” muigizaji Eric Omondi amezamia kingine kwa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version