Skip to content
Sunday, April 11, 2021
Latest:
  • Wanaharakati watabiri ongezeko la mimba za mapema kote nchini
  • Watetezi wa haki watakiwa kumuokoa msichana anayeteswa na babake wa kambo Bunyala
  • Waziri Mkuu wa Uingereza kutohudhuria ibada ya wafu ya Mwanamfalme Philip
  • Ismail Omar Guelleh achaguliwa bila kupingwa kuiongoza Djibouti
  • Visa vipya 1,030 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Emmanuel Macron.

Kimataifa 

Ufaransa yafunga shule kwa wiki tatu kudhibiti msambao wa Covid-19

1 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Emmanuel Macron., France, Ufaransa

Rais  Emmanuel Macron  wa  Ufaransa amesema shule nchini humo  zitafungwa kwa muda wa wiki tatu kama sehemu ya hatua mpya

Read more
Kimataifa 

Nchi za ulaya zatakiwa kutoa asilimia tano ya chanjo ya Covid-19 kwa nchi zinazostawi

19 February 202119 February 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Emmanuel Macron., G7, Joe Biden

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametoa wito kwa bara ulaya na Marekani kutuma kwa haraka angalau asilimia tano ya chanjo

Read more
Kimataifa 

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aambukizwa Corona

17 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Emmanuel Macron., Ufaransa

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amethibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19. Hii ni kulingana na taarifa rasmi kutoka kwa afisi ya

Read more
Kimataifa 

Ufaransa kulegeza masharti ya COVID-19 msimu wa Krismasi

25 November 202025 November 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Emmanuel Macron., Ufaransa

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema nchi yake itaanza kulegeza masharti yaliyowekwa katika kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Corona, kwa

Read more
Kimataifa 

Angela Merkel ashinikiza kufungwa kwa shughuli nchini Ujerumani kudhibiti Covid-19

30 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Angela Merkel, Covid-19, Emmanuel Macron., Ujerumani

Kansella Angela Merkel wa Ujerumani ameonya kuhusu kipindi kigumu na kirefu cha majira ya baridi,huku akitetea  kurejelewa tena kwa sheria za

Read more
Kimataifa 

Ufaransa yaapa kuimarisha juhudi za kupambana na Corona hadi mwaka ujao

24 October 202024 October 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Emmanuel Macron., Ufaransa, Ulaya, WHO

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema taifa hilo litaendelea kupambana na janga la korona hadi katikati ya mwaka ujao. Tangazo

Read more
Kimataifa 

Mauaji ya mwalimu mmoja nchini Ufaransa yatajwa kuwa kisa cha ugaidi

17 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Charlie Hebdo, Chechen, Emmanuel Macron.

Rais wa Ufaransa  Emmanuel Macron ametaja kisa cha kukatwa kichwa kwa mwalimu mmoja katika eneo la Kaskazini Mashariki ya mji

Read more
Habari 

Rais Kenyatta awarai wawekazi wa Ufaransa kuchagua Kenya kwa uwekezaji wao

3 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Emmanuel Macron., France, Franck Riester, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amewahimiza wawekezaji wa Ufaransa kuchagua Kenya kwa uwekezaji wao barani Afrika na kuwahakikishia usaidizi wa serikali ya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta: Rasilimali kubwa zaidi Afrika ni idadi kubwa ya vijana

2 October 20201 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments BPI france Inno Generation, Emmanuel Macron., France, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amekariri kwamba rasilmali kubwa zaidi barani Afrika ni idadi kubwa ya vijana wala sio mali yake asili.

Read more
Habari 

Rais Kenyatta afanya ziara rasmi nchini Ufaransa

1 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Emmanuel Macron., France, Uhuru Kenyatta, Vinci Concessions.

Rais  Uhuru Kenyatta alianza ziara  rasmi  nchini  Ufaransa Jumatano jioni  kwenye   Ikulu  ya    Elysee,    ambapo alikaribishwa  na  mwenyeji wake, Rais wa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version