Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Shujaa yazidiwa maarifa na Argentina kwa mara tatu Madrid 7’s
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Donald trump

Kimataifa 

Baadhi ya Maseneta Marekani wadinda kuidhinisha ushindi wa Biden

3 January 20213 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Marekani, Ted Cruiz

Kundi la maseneta nchini Marekani limesema kuwa litakataa kutia saini stakabadhi za kuthibitisha ushindi wa Rais Mteule Joe Biden, ikiwa

Read more
Kimataifa 

Mitch McConnell akosoa wito wa Trump kuhusu msaada kwa waathiriwa wa COVID-19 Marekani

31 December 202031 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Democratic, Donald trump, Marekani, Mitch McConnell, Republican

Kiongozi wa chama cha Republican kwenye Bunge la Seneti nchini Marekani Mitch McConnell, amepuuzilia mbali wito wa kuongezwa kwa misaada

Read more
Kimataifa 

Hatimaye Trump aidhinisha mswaada wa ruzuku kwa waathiriwa wa COVID-19 Marekani

28 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Donald trump, Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump hatimaye ametia saini mswaada wa kuwapa ruzuku waathiriwa wa ugonjwa wa COVID-19. Awali, Trump alikuwa

Read more
Kimataifa 

Biden amushtumu Trump kwa kuchelewesha mswaada wa malipo kwa waathiriwa wa janga la COVID-19 Marekani

27 December 202027 December 2020 James Kombe 0 Comments Congress, Covid-19, Donald trump, Joe Biden, Marekani

Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameonya kwamba kutakuwa na matokeo mabaya zaidi ikiwa Rais Donald Trump ataendelea kuchelewa kutia

Read more
Kimataifa 

Trump ashinikiza kupunguzwa kwa ruzuku za walioathirika na COVID-19 Marekani

23 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Donald trump, Joe Biden, Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump amelitaka Bunge la Congress kuufanyia marekebisho mswada kuhusu ugonjwa wa COVID-19 ambao unalenga kutoa ruzuku

Read more
Kimataifa 

Trump abadili mpango wa kutaka maafisa wa White House wawe wa kwanza kupokea chanjo ya COVID-19

14 December 202014 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Donald trump, Pfizer/BioNTech, White House

Rais wa Mardekani Donald Trump amebadili mpango wake wa awali wa kutaka maafisa wa Ikulu ya White House kuwa miongoni

Read more
Kimataifa 

Alfred Bourgeois aliyehukumiwa kifo nchini Marekani auawa kwa sindano ya sumu

12 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Alfred Bourgeois, Donald trump

Mtu mmoja aliyemuua binti yake mchanga takriban miaka 20 iliyopita, amekuwa mfungwa wa pili kuuawa katika siku chache zilizopita nchini

Read more
Kimataifa 

Marekani kuwaondoa wanajeshi wake nchini Somalia

5 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Mark Esper, Somalia

Rais wa Marekani Donad Trump ameamuru kuondolewa wa karibu wanajeshi wote wa Marekani kutoka nchini Somalia, ifikapo tarehe 15 mwezi

Read more
Kimataifa 

Mshauri wa Trump kuhusu janga la Korona ajiuzulu

1 December 2020 James Kombe 0 Comments Donald trump, Korona, Marekani, Scott Atlas

Mshauri wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhuru virusi vya Korona Dkt. Scott Atlas amejiuzulu. Atlas amemshukuru Rais Trump kwa

Read more
Burudani 

Mshauri wa Trump kuhusu Covid-19 Scott Atlas, ajiuzulu

1 December 20201 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Donald trump, Scott Atlas

Mshauri wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu virusi vya Korona anayekumbwa na utata, Dakta Scott Atlas,amejiuzulu. Akimshukuru Rais Trump

Read more
  • ← Previous
  • Next →

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version