Skip to content
Wednesday, January 27, 2021
Latest:
  • Ulinzi Stars waiangusha Mathare United huku Gor wakiiparuza Zoo Fc ligi kuu FKF
  • Mwanamke ashtakiwa Kilifi kwa madai ya wizi wa mtungi wa gesi
  • Waathiriwa waliopoteza makazi kufuatia kimbunga cha Eloise nchini Msumbiji wakusanyika Guara Guara
  • Raila apigia debe ripoti ya BBI Githurai
  • Watu 130 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Donald trump

Kimataifa 

Huenda Trump akazuiwa kushikilia wadhifa wa umma

23 January 202123 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Congress, Donald trump

Kesi ya kutaka kumzuia Donald Trump kushikilia wadhifa wowote wa umma kuhusiana na wajibu wake katika ghasia zilizoghubika Jumba la

Read more
Habari 

Eric Kneedler ndiye balozi mpya wa Marekani hapa nchini

21 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Eric Kneedler, Kyle McCarter

Eric Kneedler ndiye balozi mpya wa Marekani hapa nchini. Uteuzi wake ulitangazwa muda mfupi baada ya kuapishwa kwa Joe Biden

Read more
Kimataifa 

Rais mpya wa Marekani Joe Biden aanza kazi rasmi kwa mageuzi ya sheria

21 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden ameanza kazi rasmi kwa kutangua baadhi ya sera za aliyekuwa rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump,

Read more
Kimataifa 

Trump aondoka katika Ikulu ya Marekani

20 January 202120 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Kamala Harris

Rais wa Marekani Donald Trump ameondoka katika Ikulu ya Marekani akiwa ameandamana na mkewe Melania Trump saa chache kabla ya

Read more
Kimataifa 

Vitengo vya usalama nchini Marekani kukabiliana na maandamano mapya ya wafuasi wa Trump

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, FBI, Joe Biden, Marekani

Maafisa wa usalama nchini Marekani wamejiandaa kukabiliana na msururu wa maandamano ya wafuasi wa Rais Donald Trump. Inadaiwa kuwa wafuasi

Read more
Kimataifa 

Trump akabiliwa na tishio la kung’atuliwa mamlakani tena

11 January 202111 January 2021 James Kombe 0 Comments Democratic, Donald trump, James Cyburn, Joe Biden, Marekani

Bunge la Marekani huenda likapiga kura Jumanne kuhusu azma ya kumng’oa Rais Donald Trump mamlakani, kwa mujibu wa afisa mwandamizi

Read more
Kimataifa 

Trump asema yuko tayari kwa mpito wa amani

8 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Nancy Pelosi, Republican

Rais wa Marekani Donald Trump ameelezea kujitolea kwake kuondoka afisini kwa njia ya amani. Huku akisema utawala mpya utaapishwa tarehe

Read more
Kimataifa 

Watu 4 wafariki baada ya wafuasi wa Trump kuvamia bunge

7 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Congress, Donald trump, Joe Biden

Maafisa wa polisi Jijini Washington DC wamethibitisha kuwa watu wanne wamefariki baada ya wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia ukumbi

Read more
Kimataifa 

Trump aonywa dhidi ya kutumbukia mtegoni kuhusu madai ya vita kati ya Marekani na Israeli

3 January 20213 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Iran, Iraq, Israeli, Marekani, Mohammad Javad Zarif

Waziri wa mashauri ya kigeni wa Iran Mohammad Javad Zarif amemhimiza Rais wa Marekani Donald Trump asiangukie mtego kuhusu madai

Read more
Kimataifa 

Baadhi ya Maseneta Marekani wadinda kuidhinisha ushindi wa Biden

3 January 20213 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Marekani, Ted Cruiz

Kundi la maseneta nchini Marekani limesema kuwa litakataa kutia saini stakabadhi za kuthibitisha ushindi wa Rais Mteule Joe Biden, ikiwa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version