Skip to content
Thursday, April 15, 2021
Latest:
  • Vifo 26 zaidi vyaripotiwa Kenya kutokana na maradhi ya COVID-19
  • Oooh Nyumbani ni nyumbani David Ouma ateuliwa naibu kocha wa SOFAPAKA miaka 8 baade
  • Kenya yaadhimisha siku 100 , kuanza kwa michezo Olimpiki ya Tokyo
  • Nahodha wa Uganda Dennis Onyango astaafu soka kimataifa
  • Maafisa wa KWS wanasa mashua iliyotekeleza uvuvi haramu Tana River
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Diamond Platnumz

Burudani 

Sakata ya Wasafi?

9 April 2021 Marion Bosire 0 Comments Charles Kichere, Diamond Platnumz, Next Level Music, Rayvanny, Wasafi fm, WCB

Afisi ya mkaguzi wa hesabu za matumizi ya fedha serikalini nchini Tanzania, imeripoti kwamba milioni 140 pesa za Tanzania, ambazo

Read more
Burudani 

Amber Lulu aota kaolewa na Diamond!

1 April 20211 April 2021 Marion Bosire 0 Comments Amber Lulu, Bona Tv, Diamond Platnumz, P Funk Majani, Prezzo

Mwanamuziki wa Tanzania ambaye pia ni muigizaji na mwanamitindo, alisisimua wengi jana jioni baada ya kuandika kwenye Instagram Stories kwamba

Read more
Burudani 

Wasanii wazindua wimbo wa pamoja wa kumuenzi Rais Magufuli

19 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Mrisho Mpoto, Wasafi fm

Wasanii wa muziki zaidi ya 20 wa nchi ya Tanzania ambao walikutana usiku wa tarehe 17 mwezi huu kwa ajili

Read more
Burudani 

“Siwezi kutafutia Diamond mke!” asema Shilole

18 March 202118 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Mama Dangote, Shilole, Wasafi Tv

Baada ya kioja cha siku ya Jumatatu ambapo Shilole alimkutanisha Diamond Platnumz na mwanadada shabiki wake kutoka ufaransa kitu ambacho

Read more
Burudani 

Wasanii wakesha studioni kuandaa wimbo wa maombolezo

18 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Christina Shusho, Diamond Platnumz, Harmonize, President John Pombe Magufuli, WCB, Zuchu

Kufuatia kifo cha Rais wa muungano wa Tanzania jana jioni, wasanii wengi tajika nchini Tanzania waliamua kuingia studioni kuandaa wimbo

Read more
Burudani 

Masharti ya Simba!

17 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Definition of Love, Diamond Platnumz, Mbosso, Mlimani City, WCB

Mmiliki wa kampuni ya Wasafi Classic Baby ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametoa mwelekeo wa mavazi

Read more
Burudani 

Wema Sepetu bado anatafuta mbwa wake

17 March 202117 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Tanzania, Vanilla Manunu, Wema Sepetu

Muigizaji huyo wa nchi ya Tanzania ambaye wakati mmoja aliibuka mshindi katika shindano la ulimbwende nchini humo alitangaza kwa mara

Read more
Burudani 

Mamake Diamond amuonya Shilole

16 March 202116 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Mama Dangote, Mbosso, Sandra Kassim, Shilole, WCB

Mama huyo wa msanii Diamond Platnumz Sanura au Sandra Kassim ambaye hujiita Mama Dangote kwenye Instagram hakuridhishwa na kitendo cha

Read more
Burudani 

Mbosso kuzindua rasmi albamu yake

15 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Babu Tale, Definition of Love, Diamond Platnumz, Mbosso, Wasafi, WCB

Usimamizi wa kampuni ya muziki ya Wasafi Classic Baby au ukipenda WCB ya Tanzania imetangaza kwamba mwanamuziki wake Mbosso atazindua

Read more
Burudani 

Diamond amsifia Rayvanny

10 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, NLM, Rayvanny, Tanzania, WCB

Msanii wa muziki toka nchini Tanzania ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Wasafi ambayo ina Label ya wanamuziki

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version