Skip to content
Monday, January 25, 2021
Latest:
  • Ingwe yaichuna Sharks huku KCB wakiwazima Western Stima
  • Ruto amtaka Raila kukoma kukosoa serikali ya Jubilee kwenye mikusanyiko ya kisiasa
  • Jisafishe bila kumtaja Ruto, Duale amkanya Kalonzo
  • KLM Azindua Video ‘Mungu Saidia’ Akisema Ukombozi wa Afrika ni Sasa Hivi
  • Kenya yaripoti visa 85 vipya vya maambukizi ya COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Diamond Platinumz

Burudani 

“Nashukuru Mungu kwa kunipa mzazi mwenza kama Zari” Diamond

26 November 202025 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Hamisa Mobeto, Tanasha Dona, Tanzania, Zari Hassan

Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz au ukipenda Simba au Chibu Dangote amemsifia sana mzazi mwenza kwa jina Zari Hassan. Akizungumza

Read more
Burudani 

Zari Hassan asuta kakake Diamond

23 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Ricardo Momo, South Africa, Tanzania, uganda, Zari Hassan

Mwanamitindo Zari Hassan, mzaliwa wa Uganda anayeishi na kufanya biashara nchini Afrika kusini amegadhabishwa na matamshi ya kaka wa kambo

Read more
Burudani 

Tanasha Donna kuzindua Albamu yake mwakani

16 November 202016 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Ali Kiba, Diamond Platinumz, Donnatella, Tanasha Donna

Mamake Naseeb Junior Tanasha Donna ametangaza kwamba mwaka ujao atazindua albamu yake ya kwanza. Bi Donna ambaye pia aliwahi kuwa

Read more
Burudani 

Mashemeji wamekasirika!

14 November 202014 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Esma Platinumz, Naseeb Junior, Tanasha Donna, Tanzania

Simba wa muziki nchini Tanzania amejipata pabaya baada ya kuandika chini ya picha ya mtoto wake Naseeb Junior kwa mara

Read more
Burudani 

Diamond Platinumz kuzuru Kenya

11 November 202011 November 2020 Marion Bosire 0 Comments CCM, Diamond Platinumz, Tanasha Donna, Tanzania, Wasafi, WCB, Zari Hassan

Msanii wa nchi ya Tanzania Diamond Platinumz au ukipenda Chibu Dangote au Simba anatarajiwa kutua nchini Kenya hii leo kwa

Read more
Burudani 

Video ya “Ushamba” wimbo wa Konde Boy

9 November 20209 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Ali Kiba, Diamond Platinumz, Harmonize, Tanzania, Ushamba

Harmonize aliutambulisha wimbo huo rasmi usiku wa tarehe mosi mwezi huu wa Novemba wakati wa tamasha la “Ushamba Night Party”

Read more
Burudani 

Octopizzo apendekezwa kuteuliwa kuwania tuzo za Grammy

8 November 20207 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Grammy Awards, Octopizzo, Rayvanny, Wasafi, WCB, Zuchu

Octopizzo ambaye ni mwanamuziki wa nchi ya Kenya ana raha baada ya kupiga hatua katika sanaa yake. Hii ni baada

Read more
Burudani 

Esma Platinumz akiri kwamba ndoa yake imesambaratika

6 November 20206 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Esma Platinumz, Msizwa

Dadake mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platinumz ambaye hujiita Esma Platinumz alithibitishia mashabiki wake kusambaratika kwa ndoa yake na Bwana Msizwa

Read more
Burudani 

Tanasha Donna kutembezwa Tanzania na mtangazaji Mwijaku

4 November 20204 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Mwijaku, Ray C, Tanasha Donna, Tanzania

Mtangazaji wa redio na muigizaji nchini Tanzania kwa jina Mwijaku amesema kwamba atamwalika na kumtembeza mwanamuziki wa Kenya Tanasha Donna

Read more
Burudani 

Rayvanny Kuondoka Wasafi?

29 October 202029 October 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Rayvanny, Vanny Boy, Wasafi fm, WCB

Fikra kuhusu uwezekano wa mwanamuziki kwa jina la usanii “Rayvanny” au ukipenda “Vanny Boy” kuondoka kwenye kampuni ya Wasafi inayomilikiwa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version