Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Wahariri wadai Uhuru wa vyombo vya habari unavurugwa
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Comoros

Michezo 

FKF yatozwa faini ya shilingi milioni 1 na CAF

9 December 20209 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments AFCON2022, CAF, Comoros, Kenya

Shirikisho la soka nchini FKF limetozwa faini ya shilingi milioni 1 na Caf kwa kukiuka sheria wakati wa mchuano baina

Read more
Michezo 

Kenya yafungiwa nje ya Afcon baada ya kuogelea ufuoni Comoros

16 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Comoros, fkf, Kenya

Matumaini ya timu ya Kenya Harambee Stars kufuzu kwenda kwa dimba la AFCON mwaka 2022 nchini Cameroon mwaka 2022,yalizimwa Jumapili

Read more
Michezo 

Harambee Stars yaning’inia visiwani Comoros

15 November 202020 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments AFCAON, CAF, Comoros, Kenya

Pilka pilka za Harambee Stars kufuzu kwa komeb la Afcon kwa  mara ya pili mtawalia zaning’inia watakaposhuka katika uwanja wa

Read more
Michezo 

Harambee Stars kuondoka nchini Jumamosi kwa mchuano wa marudio dhidi ya Comoros

13 November 202013 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments AFCON, CAF, Comoros, fkf, Kenya

Timu ya taifa Harambee Stars itaondoka nchini Jumamosi kuelekea mjini Moroni kwa pambano la marudio dhidi ya wenyeji Comoros Jumapili

Read more
Michezo 

Harambee Stars yapokea kichocheo cha shilingi milioni 1 kutoka kwa naibu Rais William Ruto

12 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Comoros, DP, fkf, Kenya, William Ruto

Naibu Rais William Ruto ameahidi kuwa serikali itatoa msaada wa hali na mali kwa timu ya taifa Harambee Stars inapojiandaa

Read more
Michezo 

Comoros yaitoa Kenya Pumzi Kasarani

11 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Comoros, Harambee Stars, Kenya

Harambee Stars chini ya kocha mpya Jacob Ghost Mulee imelazimika kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Comoros katika pambano

Read more
Michezo 

Kenya Comoros vikosi vyatajwa

11 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Comoros, Kenya

Kocha wa Harambee Stars Jacob Mulee ametaja kikosi kitakachokabiliana na  Comoros mechi ya kufuzu kwa dimba a AFCON Jumatano usiku

Read more
Michezo 

Refa wa Libya Mutaz Ibrahim kusimamia mchuano wa Kenya na Comoros

10 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Comoros, Kenya

Mwamuzi wa Libya Mutaz Ibrahim ameteuliwa kusimamia mechi ya kundi G kufuzu kwa kombe la Afcon mwaka ujao  kati ya

Read more
Michezo 

Comoros Tayari kwa pambano la Jumatano dhidi ya Kenya

10 November 202010 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Comoros

Timu ya taifa ya visiwa vya Ngazija iiliwasili nchini  mapema Jumanne   tayari kwa pambano la kundi G kufuzu kwa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version