Skip to content
Thursday, April 15, 2021
Latest:
  • Vifo 26 zaidi vyaripotiwa Kenya kutokana na maradhi ya COVID-19
  • Oooh Nyumbani ni nyumbani David Ouma ateuliwa naibu kocha wa SOFAPAKA miaka 8 baade
  • Kenya yaadhimisha siku 100 , kuanza kwa michezo Olimpiki ya Tokyo
  • Nahodha wa Uganda Dennis Onyango astaafu soka kimataifa
  • Maafisa wa KWS wanasa mashua iliyotekeleza uvuvi haramu Tana River
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

CECAFA

Michezo 

Harambee Stars yapanda nafasi mbili msimamo wa FIFA

7 April 20217 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CECAFA, FIFA, fkf, Harambee Stars, Kenya

Timu ya Harambee Stars imepanda kwa nafasi mbili kwenye msimamo wa dunia wa FIFA wa mwezi Machi uliotangazwa Jumatano. Stars

Read more
Michezo 

Afrika Mashariki yakosa timu kwenya mataifa 24 ya AFCON mwaka ujao

30 March 2021 Dismas Otuke 0 Comments AFCON2021, CAF, CECAFA

Afrika mashiriki itakosa timu kwenye makala ya mwaka ujao ya fainali za kombe la AFCON baada ya waakilishi wote kushindwa

Read more
Michezo 

Timu mbili zitakazocheza AFCON U 17 mwakani kubainika Jumapili

20 December 202020 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CECAFA, Cecafa u 17

Mataifa mawili yatakayowakilisha ukanda wa CECAFA  katika mashindano ya  kombe la AFCON kwa chipukizi walio chini ya umri wa miaka

Read more
Michezo 

Kenya U 17 yaning’inia Rwanda michuano ya CECAFA

18 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CECAFA, fkf, Kenya

Chipukizi wa Kenya walio chini ya umri wa miaka 17 wanahitaji maombi  mengi  na muujiza Ijumaa  ili kufuzu kwa nusu

Read more
Michezo 

Tanzania wakwea ndege kupiga kipute cha AFCON mwakani

30 November 202030 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CECAFA, Cecafa u 20, fkf, South Sudan, SSFA, Tanzania, TFF

Mabingwa watetezi wa kombe la Cecafa kwa chipukizi walio chini ta umri wa miaka 20 Tanzania wamefuzu kwa kipute cha

Read more
Michezo 

Kenya yaipiga kumbo Sudan na kutinga nusu fainali Cecafa

27 November 202027 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, CAF, CECAFA, Kenya

Timu ya taifa ya Kenya kwa vijana walio chini ya umri wa miaka 20, imefuzu kwa nusu fainali ya michuano

Read more
Michezo 

Uganda Hippos wabanwa mbavu na Sudan Kusini CECAFA

24 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, CAF, CECAFA, Uganda Hippos

Uganda walilazimishwa kwenda sare tasa dhidi ya Sudan Kusini katika mechi ya ufunguzi ya kundi B kuwania kombe la Cecafa

Read more
Michezo 

Tanzania waitemea Djibouti ‘cheche za moto’ CECAFA

22 November 202022 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CECAFA, Cecafa u 20, Ngorongoro Heroes, Tanzania u 20

Mabingwa watetezi Tanzania wajulikanao kama Ngorongoro Heroes wameanza vyema kutetea kombe la Cecafa baada ya kuwachachafya  Djibouti mabao 6-1 katika

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version