Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wauguzi watishia kuandaa maandamano ya kitaifa Jumatatu ijayo
  • Mbunge wa Tiaty William Kamket aachiliwa huru
  • Visa vipya 186 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Wahamiaji 43 wakufamaji katika bahari ya Mediterranean
  • Wafanyibiashara Ngara wakadiria hasara baada ya vibanda vyao kubomolewa
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Cameroon

Michezo 

Cameroon na Mali watoshana nguvu huku Burkina Fasso ikiwatimua Zimbabwe CHAN

21 January 202121 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Cameroon, CHAN2020, Mali

Wenyeji Cameroon maarufu kama Indomitable Lions na Flying Eagles ya Mali  zilitoka sare  ya bao 1-1   katika uwanja wa

Read more
Michezo 

Cameroon na Mali zawinda nafasi ya robo fainali

20 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Cameroon, CHAN2020, Mali

Wenyeji Indomitable Lions ya Cameroon na Flying Eagles ya Mali watakuwa wakiwania tiketi ya kwanza kucheza robo fainali ya makala

Read more
Michezo 

Camerron wakashifiwa kwa ushirikina katika mechi yao CHAN dhidi ya Zimbabwe

17 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Cameroon, CHAN 2020, Zimbabwe

Cameroon walishutumiwa  vikali kabla ya mchuano wa ufunguzi wa Chan dhidi ya Zimbabwe Jumamosi kwa madai ya kutumia ushirikina. Hii

Read more
Michezo 

Wenyeji Cameroon wafungua CHAN kwa ushindi

17 January 202117 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Cameroon, CHAN 2020, Zimbabwe

Wenyeji Indomitable Lions walianza makala ya 6 ya fainali za kombe la CHAN kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya

Read more
Michezo 

Cameroon kusukumwa na mashabiki wa nyumbani CHAN

14 January 202114 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Cameroon, CHAN 2021, FECAFOOT

Mataifa 16 yako nchini Cameroon kushiriki  mashindano  ya Afrika kwa wachezaji wanaosakata  soka katika ligi za nyumbani maarufu  CHAN  yatang’oa

Read more
Michezo 

Uganda Cranes yaikwaruza Zambia mechi ya kujinoa kwa CHAN

5 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments 2020, Cameroon, CHAN, FUFA, KBC, Uganda Cranes

Uganda Cranes iliibwaga Chipopolo ya Zambaia mabao 2-0 Jumatatu jioni katika mechi ya pili ya mashindano ya kutangulia makala ya

Read more
Michezo 

Cameroon tayari kuandaa CHAN mwaka ujao

16 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Cameroon, CHAN2021

Waandalizi wa michuano ya kombe la CHAN  kuanzia mwezi ujao Cameroon wamesema wamekamilisha matayarisho ya kipute hicho kitakachoanza Januari 16

Read more
Kimataifa 

Mwanafunzi raia wa Cameroon ashtakiwa Marekani kwa utapeli

8 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Cameroon, Fodje Bobga, Michael Christman

Mwanafunzi mmoja wa umri wa miaka 27 kutoka Cameroon ameshtakiwa nchini marekani kwa kutumia janga la virusi vya corona kuwatapeli

Read more
Michezo 

Miamba Algeria wafuzu kwa kipute cha AFCON mwaka 2022

17 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments AFCON, Algeria, CAF, Cameroon

Mabingwa watetezi Algeria walifuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya Afrika Afcon mwaka 2022 na kuwa timu ya tatu

Read more
Michezo 

Senegal ya kwanza kufuzu AFCON 2022

16 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments AFCON 2022, Cameroon, Kenya, Senegal

Teranga lions ya Senegal ilikuwa timu ya pili  kutinga Makala ya 32 ya fainali za kombe la Afcon mwaka 2022

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version