Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Shujaa yazidiwa maarifa na Argentina kwa mara tatu Madrid 7’s
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Caf Confed Cup

Michezo 

NAPSA Stars wanoa makali kukabiliana na Gor Mahia Jumapili

12 February 202112 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Confed Cup, Gor Mahia Fc, NAPSA Stars FC

Klabu ya NAPSA Stars kutoka Zambia  imeendeleza mazoezi  katika uwanja wa Utalii kujianda kwa mkumbo wa kwanza wa mchujo wa

Read more
Michezo 

Gor waangukia NAPSA All Stars kuwania tiketi ya makundi ya kombe la shirikisho

8 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Confed Cup, Gor Mahia, Napsa All Stars

Gor Mahia   wameratibiwa kumenyana na timu ya  National Pension Scheme Authority  Stars (NAPSA) ya Zambia  katika mchujo wa kufuzu kw

Read more
Michezo 

Rs Berkane watawazwa mabingwa wa kombe la Caf Confed

26 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Confed Cup, Pyramids Fc, Rs Berkane

Mohssine Iajour alipachika bao la pekee la mchezo na kuisaidia  RS Berkane ya Moroko kuwabwaga Pyramids ya Misri bao 1

Read more
Michezo 

Rs Berkane watinga fainali kombe la shirikisho Caf

20 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Confed Cup, Hassania Agadir, Rs Berkane

Kapteini Mohammed Aziz alifunga penati mbili katika kila kipindi na kuwasaidia Rs Berkane kutoka Moroko kutinga fainali ya kombe la

Read more
Michezo 

KBC channel 1 kupeperusha Nusu fainali za mataji ya CAF baina ya vilabu

16 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, Caf Champions league, Caf Confed Cup, Pyramids, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Zamalek

Wapenzi wa soka nchini watapata fursa ya kushuhudia mbashara  nusu fainali  za ligi ya barani Afrika na . Runinga ya

Read more
Michezo 

Stade Malien wahifadhi taji ya ligi kuu ya Mali

15 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Champions league, Caf Confed Cup, Mali, Stade Malien

Kilabu ya Stade Malien ya Mali ndio mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Mali msimu wa mwaka 2019/2020 baada

Read more
Michezo 

Caf yaahirisha nusu fainali za ligi ya mabingwa na kombe la shirikisho

15 September 202015 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments Ac Horoya, Al Ahly, Berkane, Caf Champions league, Caf Confed Cup, Hassania Agadir, Pyramids Fc, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Zamalek

Shirikisho la soka barani Afrika Caf limeahirisha siku za kuchezwa kwa nusu fainali za ligi ya mabingwa na kombe la

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version