Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Shujaa yazidiwa maarifa na Argentina kwa mara tatu Madrid 7’s
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Caf Champions league

Michezo 

Gor kukabiliana na mabingwa wa Algeria Belouizdad

7 December 20207 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Champions league, CR Belouizdad, Gor Mahia

Mabingwa wa ligi kuu ya Kenya Gor Mahia wameratibiwa kuchuana na mabinwga wa Algeria CR Belouizdad  katika mchujo wa pili

Read more
Michezo 

Gor Mahia tayari kuwashika mateka wanajeshi APR Jumamosi

4 December 20205 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Champions league, Gor Mahia, Miguna, Obondo, Omolo, Owalo

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Kenya Gor mahia, wana imani ya kufuzu kwa mchujo wa pili wa ligi ya

Read more
Michezo 

Gor Mahia wako ngangari kumenaya na APR Jumamosi

3 December 20203 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments APR FC, CAF, Caf Champions league, Gor Mahia

Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Gor Mahia wanaendelea na maandalizi kwa mechi ya marudio awamu ya mchujo kuwania taji

Read more
Michezo 

Ahly waibana Zamalek na kutwaa kombe la 9 ligi ya mabingwa Afrika

28 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, CAF, Caf Champions league, Zamalek

Kilabu ya Al Ahly ukipenda Red Devils ilinyakua kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika kwa mara ya 9 Ijumaa

Read more
Michezo 

Ahly na Zamalek kuzindua uhasama wa jadi fainali ya ligi mabingwa Ijumaa

27 November 202027 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, Caf Champions league, CAF.KBC, Zamalek

Fainali ya ligi ya mabingwa barani afrika itasakatwa Ijumaa usiku katika uwanja wa Cairo International ,ikiwa derby ya Cairo baina

Read more
Michezo 

Gor Mahia waangukia wanajeshi wa Rwanda APR katika mchujo wa ligi ya mabingwa

10 November 20209 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments APR FC, Caf Champions league, Gor Mahia Fc

Mabingwa wa ligi ya Kenya Gor Mahia watapambana na wajeshi APR ya Rwanda katika mchujo wa kwanza wa ligi ya

Read more
Michezo 

Zamalek waipakata Raja Casablanca na kutinga fainali ya ligi ya mabingwa

5 November 20205 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, Caf Champions league, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Zamalek

Zamelek walijikatia tiketi kucheza derby ya fainali kuwania kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika kufuatia ushindi mkubwa wamabao 3-1

Read more
Michezo 

Zamalek na Raja kumaliza udhia Jumatano

4 November 20204 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Champions league, Raja Casablanca, Zamalek

Washindi  mara tano wa ligi ya mabingwa barani Afrika ,Zamalek watawaalika Raja Casablanca katika duru ya pili ya nusu fainali

Read more
Michezo 

Fainali ya Ligi ya Mabingwa Caf ni Novemba 27

31 October 202030 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, Caf Champions league, Raja Casablanca, Zamalek

Fainali ya kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika itaandaliwa  Novemba 27  katika uwanja wa Borg Al Arab Stadium mjini  Alexandria,Misri.

Read more
Michezo 

Fainali ya ligi ya mabingwa Afrika yaahirishwa na Caf

30 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Champions league, Raja Casablanca, Zamalek

Shirikisho la kandanda Afrika Caf limelazimika kuarisha fainali ya ligi ya mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6  kwa sababu zisizoweka kuepukika.

Read more
  • ← Previous
  • Next →

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version