Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Mwanawe Mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri afariki kutokana na COVID-19
  • Matiang’i aagiza kukamatwa kwa wazee wapenda ndogo ndogo
  • Keyshia Cole na K. Michelle sasa ni marafiki!
  • AFCON U 20 kuingia semi fainali Jumatatu
  • Mtangazaji wa ishara wa KBC Simon Karutha afariki kufuatia ajali ya barabarani
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

bunge

Habari 

Wapenzi wa BBI kuanza kukusanya saini milioni moja wiki hii

16 November 202016 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Iebc, Raila Odinga, Saini

Wakenya wanaounga mkono ripoti ya mpango wa maridhiano ya kitaifa, BBI, wanatarajiwa wiki hii kuanza kukusanya saini milioni moja. Kwa

Read more
Habari 

Hotuba ya Rais kuhusu hali ya taifa kutolewa leo

12 November 2020 James Kombe 0 Comments bunge, Covid-19, Hotuba, Rais Kenyatta, Seneti

Rais Uhuru Kenyatta leo anatarajiwa kutoa hotuba ya mwaka huu kuhusu hali ya taifa kwenye kikao cha pamoja cha Bunge

Read more
Habari 

Rais Kenyatta kutoa hotuba ya 2020 kuhusu hali ya taifa Juma lijalo

4 November 2020 James Kombe 0 Comments bunge, Hotuba, Rais Uhuru Kenyatta, Seneti, Spika Justin Muturi

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kutoa hotuba ya mwaka huu kuhusu hali ya taifa hili kwenye kikao cha pamoja cha Bunge

Read more
Habari 

Bunge kurejelea vikao baada ya likizo ya wiki mbili

2 November 20202 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Kitaifa, Naivasha, Nakuru, Seneti

Bunge la Kitaifa na lile la Seneti yanatarajiwa kuanza tena vikao vyake Jumanne alasiri, baada ya mapumziko ya wiki mbili. Wabunge walienda mapumzikoni baada

Read more
Habari 

Waliopendekezwa kuwa mabalozi wasailiwa na kamati ya bunge

31 October 202030 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments bunge, Katoo Ole Mitito, Uhuru Kenyatta

Watu watano waliopendekezwa na Rais  Uhuru Kenyatta kujaza nafasi za mabalozi 15, walisailiwa Ijumaa na kamati ya bunge la taifa kuhusu

Read more
Habari 

Bunge la Kaunti ya Uasin Gishu lafungwa kwa muda kutokana na hofu ya COVID-19

19 October 202018 October 2020 James Kombe 0 Comments bunge, COVID-19.Jackson Mandago, Huruma, Peter Kiiru Chomba, Uasin Gishu

Spika wa Bunge la Kaunti ya Uasin Gishu David Kiplagat amesimamisha vikao vya bunge hilo kwa siku 21. Hii ni

Read more
Habari 

Kabila la Washona laandamana likitaka kutambuliwa kama raia wa Kenya

15 October 202015 October 2020 James Kombe 0 Comments bunge, James Nyoro, Kiambu, Shona, Stephen Ndicho

Kabila la Washona ambalo limekuwa likiishi humu nchini tangu miaka ya 1960 limetoa wito kwa Bunge kuharakisha kushughulikia rufaa ya

Read more
Habari 

Naibu Jaji Mkuu ateua Majaji watano kushughulikia kesi ya kuvunjwa kwa Bunge

14 October 202014 October 2020 James Kombe 0 Comments bunge, David Maraga, Lydia Achode

Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu ameteua jopo la Majaji watano watakaosikiliza na kuamua kesi kuhusu ushauri wa kumtaka Rais Uhuru

Read more
Habari 

Bunge lapendekeza kuanzisha kituo chake cha habari

11 October 202011 October 2020 James Kombe 0 Comments bunge, Dkt. Naim Bilal, Habari, Justus Kizito, KBC

Bunge linanuia kuanzisha kituo huru cha habari kitakachoangazia  shughuli zake. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kuhusu utangazaji

Read more
Habari 

Bunge kufanyia marekebisho Sheria ya Kuwaajiri Maafisa wa Serikalini

2 October 20202 October 2020 James Kombe 0 Comments Benjamin Gathiru, bunge, PSC

Wabunge wanatarajiwa kujadili mswada wa marekebisho ya sheria ya Tume ya Kuwaajiri Maafisa wa Serikalini iliyofadhiliwa na Mbunge wa Embakasi

Read more
  • ← Previous
  • Next →

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version