Skip to content
Monday, January 25, 2021
Latest:
  • Ingwe yaichuna Sharks huku KCB wakiwazima Western Stima
  • Ruto amtaka Raila kukoma kukosoa serikali ya Jubilee kwenye mikusanyiko ya kisiasa
  • Jisafishe bila kumtaja Ruto, Duale amkanya Kalonzo
  • KLM Azindua Video ‘Mungu Saidia’ Akisema Ukombozi wa Afrika ni Sasa Hivi
  • Kenya yaripoti visa 85 vipya vya maambukizi ya COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

bunge

Habari 

Kuria amtaka Rais aunde kamati ya Bunge ili kuokoa mapendekezo muhimu ya BBI

6 January 20216 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Gatundu, Moses Kuria, Rais Uhuru Kenyatta

Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria, sasa anamtaka Rais Uhuru Kenyatta kubuni kamati maalum ya Bunge ili kujadili namna ya

Read more
Habari 

Wabunge wahitilafiana kuhusu pendekezo la BBI la kubuni Maeneo-Bunge 70 zaidi

27 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Charles Nguna, Oundo Ojiambo, Owen Baya, Robert Pukose

Baadhi ya wabunge wa Bunge la Kitaifa wameibua wasi wasi kuhusiana na mfumo mpya unaopendekezwa wa kugawanya maeneo-bunge mapya yaliyopendekezwa

Read more
Habari 

Baadhi ya wanawake wakataa BBI

24 November 202024 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Daisy Amdany, Wanawake

Kundi moja la wanawake limepinga marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano wa BBI. Kundi hilo limesema marekebisho ya katiba

Read more
Habari 

Wabunge washinikiza kuimarishwa kwa biashara kati ya Kenya na Tanzania

22 November 2020 James Kombe 0 Comments Afrika Mashariki, Biashara, bunge, Isebania, Ruweida Mohamed, Tanzania

Kamati ya Bunge kuhusu Ushirikiano wa Kanda ya Afrika Mashariki imeweka mikakati ya kuimarisha biashara kati ya Kenya na Tanzania.

Read more
Habari 

Bunge la Seneti kujadili hotuba ya Rais

17 November 202017 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Covid-19, Hotuba, Rais Kenyatta, Seneti

Bunge la Seneti leo linatarajiwa kujadili hotuba ya kuhusu hali ya taifa la Kenya iliyotolewa na Rais Uhuru Kenyatta Alhamisi

Read more
Habari 

Wapenzi wa BBI kuanza kukusanya saini milioni moja wiki hii

16 November 202016 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Iebc, Raila Odinga, Saini

Wakenya wanaounga mkono ripoti ya mpango wa maridhiano ya kitaifa, BBI, wanatarajiwa wiki hii kuanza kukusanya saini milioni moja. Kwa

Read more
Habari 

Hotuba ya Rais kuhusu hali ya taifa kutolewa leo

12 November 2020 James Kombe 0 Comments bunge, Covid-19, Hotuba, Rais Kenyatta, Seneti

Rais Uhuru Kenyatta leo anatarajiwa kutoa hotuba ya mwaka huu kuhusu hali ya taifa kwenye kikao cha pamoja cha Bunge

Read more
Habari 

Rais Kenyatta kutoa hotuba ya 2020 kuhusu hali ya taifa Juma lijalo

4 November 2020 James Kombe 0 Comments bunge, Hotuba, Rais Uhuru Kenyatta, Seneti, Spika Justin Muturi

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kutoa hotuba ya mwaka huu kuhusu hali ya taifa hili kwenye kikao cha pamoja cha Bunge

Read more
Habari 

Bunge kurejelea vikao baada ya likizo ya wiki mbili

2 November 20202 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Kitaifa, Naivasha, Nakuru, Seneti

Bunge la Kitaifa na lile la Seneti yanatarajiwa kuanza tena vikao vyake Jumanne alasiri, baada ya mapumziko ya wiki mbili. Wabunge walienda mapumzikoni baada

Read more
Habari 

Waliopendekezwa kuwa mabalozi wasailiwa na kamati ya bunge

31 October 202030 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments bunge, Katoo Ole Mitito, Uhuru Kenyatta

Watu watano waliopendekezwa na Rais  Uhuru Kenyatta kujaza nafasi za mabalozi 15, walisailiwa Ijumaa na kamati ya bunge la taifa kuhusu

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version