Skip to content
Sunday, April 11, 2021
Latest:
  • Wanaharakati watabiri ongezeko la mimba za mapema kote nchini
  • Watetezi wa haki watakiwa kumuokoa msichana anayeteswa na babake wa kambo Bunyala
  • Waziri Mkuu wa Uingereza kutohudhuria ibada ya wafu ya Mwanamfalme Philip
  • Ismail Omar Guelleh achaguliwa bila kupingwa kuiongoza Djibouti
  • Visa vipya 1,030 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Brazil

Kimataifa 

Wakuu wa Jeshi wajiuzulu nchini Brazil

31 March 2021 Tom Mathinji 0 Comments Brazil, Covid-19, Jair Bolsonaro

Wakuu wa jeshi la nchi kavu,jeshi la wanamaji na jeshi la wanahewa nchini Brazil wamejiuzulu huku Rais Jair Bolsonaro wa nchi hiyo akikumbwa

Read more
Kimataifa 

Rais wa Brazil Jair Bolsonaro apigwa faini kwa kumdhalilisha mwanahabari mwanamke

28 March 2021 James Kombe 0 Comments Brazil, Jair Bolsonaro, Patrícia Campos Mello

Mahakama moja nchini Brazil imemuagiza Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro, kumfidia mwanahabari mmoja baada ya kumdhalilisha hadharani. Bolsonaro alisema

Read more
Kimataifa 

Brazil yalemewa na idadi kubwa ya maambukizi ya Covid-19

10 March 2021 Tom Mathinji 0 Comments Brazil, Covid-19, Jair Bolsonaro

Mifumo ya afya katika miji mingi mikubwa nchini Brazil inakaribia kusambaratika kufuatia kuongezeka visa vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19,

Read more
Kimataifa 

Ndege aina ya Boeing 737 Max kupata idhini ya kupaa bara Ulaya juma lijalo

20 January 202119 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Boeing 737 Max, Brazil, Patrick Ky

Mkuu wa shirika la usalama wa ndege barani ulaya EASA,amesema kuwa ndege aina ya Boeing 737 Max zitapata idhini ya mwisho ya kuanza

Read more
Burudani 

Ronaldinho sasa ni mwanamuziki

19 January 202119 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Barcelona, Brazil, Paraguay, Ronaldinho, Tropa do Bruxo

Ronaldo De Assis Moreira maarufu kama Ronaldinho Gaucho ni mcheza soka mstaafu maarufu sana ulimwenguni mzaliwa wa Brazil. Ronaldinho anaonekana

Read more
Michezo 

Samba Boys wakosa adabu za mgeni na kuwatesa Uruguay

18 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Brazil, Conmebol, FIFA

Mabingwa mara tano wa dunia Brazil waliendeleza rekodi yao ya asilimia 100 waliposajili ushindi wa mabao 2-0  dhidi ya Uruguay

Read more
Kimataifa 

Brazil yasitisha utumizi wa chanjo dhidi ya Covid-19 kutoka China

10 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Brazil, China, Covid-19

Majaribio ya kimatibabu ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 iliyotengenezewa  nchini  China yaliyokuwa yakitekelezwa nchini Brazil yamesitishwa baada ya maafisa  wa

Read more
Michezo 

Samba Boys waanza kwa makeke safari ya kwenda Qatar mwaka 2022

10 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Brazil, Conmebol, FIFA

Mabingwa mara tano wa dunia Brazil maarufu kama Samba Boys walianza vyema harakati za kufuzu kwa dimba la mwaka 2022

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version