Skip to content
Wednesday, March 3, 2021
Latest:
  • COVID-19: Visa vingine 331 vyathibitishwa Kenya, wagonjwa 3 wafariki
  • Mudavadi aibua wasiwasi kuhusu njama ya wizi wa kura Matungu
  • NOC-K na Kaunti ya Nairobi zasaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kukuza talanta cha OlympAfrica
  • Mashindano ya msururu wa dunia katika raga ya wachezaji 7 upande HSBC kuanza Mei
  • Ajuma Nasenyana asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

AK

Michezo 

Bingwa wa olimpiki 2008 Wilfred Bungei azungumzia alivyoshinda uraibu wa pombe

3 March 20213 March 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, Wilred Bungei

Bingwa wa Olimpiki katika mbio za mita 800 mwaka 2008 mjini Beijing China Wilfred Bungei ndiye mwanariadha wa kwanza aliyejitokeza

Read more
Michezo 

Kwemoi asema wakenya wanao uwezo wa kushinda dhahabu ya olimpiki ya mita 10,000 mwaka huu

2 March 20212 March 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, Rodgers Kwemoi

Mshindi wa nishani ya shaba ya jumuyiya ya madola Rodgers Kwemoi ana imani Kenya inao uwezo wa kushinda dhahabu ya

Read more
Michezo 

Mikondo ya pili na tatu ya Track n field weekend meet yahamishiwa Nairobi

2 March 20212 March 2021 Dismas Otuke 0 Comments Africa senior athletics championship, AK, CAA, Track n Field Weekend meet

Chama cha riadha Kenya kimetangaza kuhamisha mikondo ya pili na tatu ya mashindano ya Track and Field weekend meet hadi

Read more
Michezo 

Timu ya mbio za nyika ya Kenya kuvunja kambi Jumatatu

1 March 202128 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, CAA, Kenya cross country

Wanariadha 46 na maafisa 10 ambao wamekuwa kwenye kambi ya mazoezi katika chuo cha mafunzo ya walimu cha Kigari TTC

Read more
Michezo 

Daisy Cherotich na Gideon Rono watamba siku ya pili ya riadha Nyayo

28 February 202128 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, AK track n Field

Daisy Cherotich ametwaa ushindi wa mbio za mita 10,000 wanawake katika siku ya pili na ya mwisho ya mashindano ya

Read more
Michezo 

Wanariadha watakaoshiriki mbio za nyika Afrika kuripoti kambini Jumatano

14 February 202114 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, Athletics Kenya, Cross country

Wanariadha 42 watakaoiwakilisha Kenya katika mbio za nyika barani Afrika tarehe 7 mwezi ujao waliotangazwa na chama cha riadha Kenya

Read more
Michezo 

Beatrice Chepkoech aweka rekodi ya dunia ya kilomita 5 kwa dakiak 14 na sekunde 44

14 February 202117 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments 5KM Herculis, AK, Athletics Kenya, Beatrice Chepkoech, world athletics

Bingwa wa dunia na mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji Beatrice Chepkoech,amejiongezea

Read more
Michezo 

Mashindano ya kitaifa ya mbio za nyika kushirikisha KWS,NYS na wakimbizi

11 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, AK Cross country

Mashindano ya kitaifa ya mbio za nyika yatakayoandaliwa Jumamosi hii katika uwanja wa Ngong Race Course yatashirikisha timu 16 ikiwemo

Read more
Michezo 

Kinyamal na Rotich kushiriki mkondo wa tatu wa mbio za Relays Jumamosi

5 February 20215 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, AK Relays

Bingwa wa Jumuiya ya madola mwaka 2018 katika mita 800 Wycliff Kinyamal na mshindi wa nishani ya shaba ya dunia

Read more
Michezo 

Bingwa wa Dunia Obiri alenga taji ya kwanza ya nusu marathon katika mbio za RAK

3 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, Obiri, RAK 2021, world athletics

Bingwa wa dunia katika mbio za mita 5000 Hellen Obiri atalenga kujitosa kwenye maji ya kina atakaposhiriki mbio za nusu

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version