Skip to content
Wednesday, March 3, 2021
Latest:
  • Mudavadi aibua wasiwasi kuhusu njama ya wizi wa kura Matungu
  • NOC-K na Kaunti ya Nairobi zasaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kukuza talanta cha OlympAfrica
  • Mashindano ya msururu wa dunia katika raga ya wachezaji 7 upande HSBC kuanza Mei
  • Ajuma Nasenyana asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
  • Mswada wa BBI kuwasilishwa katika Bunge la Kitaifa Alhamisi
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Afya

Habari 

Afueni kwa wakazi wa Mombasa baada ya wahudumu wa afya kusitisha mgomo wao

22 February 2021 James Kombe 0 Comments Afya, Joab Tumbo, KNUN, Mombasa, Peter Maroko

Wauguzi na wahudumu wengine wa afya katika Kaunti ya Mombasa wamesitisha mgomo uliodumu kwa miezi mitatu. Hatua hiyo ni afueni

Read more
Habari 

Kamati ya Bunge kuhusu Afya yaandaa kikao cha kutatua changamoto za sekta ya afya nchini

10 December 2020 James Kombe 0 Comments Afya, Covid-19, KEMSA, Mgomo, Sabina Chege

Kamati ya Bunge kuhusu afya inatarajiwa kukutana na wadau wa sekta ya afya katika juhudi za kutafuta suluhisho la mzozo

Read more
Habari 

Mgomo wa wahudumu wa afya kuanza usiku wa manane

6 December 2020 James Kombe 0 Comments Afya, Covid-19, Mgomo

Huduma za afya kwenye hospitali za umma huenda zikalemazwa kuanzia usiku wa manane ikiwa wahudumu wa afya watatekeleza tisho lao

Read more
Habari 

Wahudumu wa Afya wakataa ripoti ya BBI

22 October 202022 October 2020 James Kombe 0 Comments Afya, BBI, KNUN, Seth Panyako

Wahudumu wa afya wamepuuzilia mbali pendekezo la ripoti ya BBI la kubuni tume yenye wanachama 10 ili kusimamia sekta ya

Read more
Habari 

Kenya yaripoti idadi kubwa zaidi ya waliopona COVID-19 huku wengine 321 wakiambukizwa

7 October 2020 James Kombe 0 Comments Afya, Covid-19

Kenya leo imenakili idadi kubwa zaidi ya watu waliopona korona kwa siku moja tangu kuthibitishwa kwa kisa cha kwanza cha

Read more
Habari 

Kenya yaripoti visa vipya 152 vya COVID-19 huku wagonjwa 110 wakipona

20 September 2020 James Kombe 0 Comments Afya, Covid-19

Wizara ya Afya imenakili visa vipya 152 vya ugonjwa wa COVID-19 na kufikisha 36,981, jumla ya visa vya maambukizi humu

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version