Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Munya:Sheria mpya za kahawa kuwanufaisha wakulima
  • Wafanyibiashara ndogo ndogo watakiwa kulenga soko la Afrika Mashariki
  • Rais Kenyatta ndiye mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Afrika Mashariki
  • Shujaa yashinda mechi zote tatu Madrid 7’s
  • Kenya yanakili visa 181 vipya vya Covid-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Afcon u 17

Michezo 

Makinda wa Uganda wahifadhi kombe la CECAFA U 17 baada ya kuwamenya Tanzania 3-1

23 December 202022 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, Cecafa u 17, FERWAFA, Serengeti Boys, Uganda Cubs

Uganda ndio mabingwa wa komeb la Cecafa kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 17 baada ya kuwatitiga Tanzania mabao 3-1

Read more
Michezo 

Uganda na Tanzania zafuzu AFCON U 17 mwakani nchini Moroko

21 December 202021 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, Cecafa u 17, Serengeti Boys, Tanzania, uganda, Uganda Cubs

Uganda na Tanzania zimefuzu kwa kipute cha kombe la AFCON mwezi Juni mwaka ujao nchini Moroko, baada ya kujikatia tiketi

Read more
Michezo 

Timu mbili zitakazocheza AFCON U 17 mwakani kubainika Jumapili

20 December 202020 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CECAFA, Cecafa u 17

Mataifa mawili yatakayowakilisha ukanda wa CECAFA  katika mashindano ya  kombe la AFCON kwa chipukizi walio chini ya umri wa miaka

Read more
Michezo 

Kenya U 17 yafurushwa CECAFA na kukosa fursa ya kufuzu AFCON

19 December 202019 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, Cecafa u 17

Kenya ilitmuliwa kwenye michuano ya Cecafa  na kukosa nafasi ya kushiriki michuano ya kombe la  AFCON kwa chipukizi wasiozidi umri

Read more
Michezo 

Tanzania na Djibouti zafuzu nusu fainali ya CECAFA na kunusia kipute cha AFCON U 17

18 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, Cecafa u 17, TFF

Tanzania na Djibouti zimejikatia tiketi ya nusu fainali kuwania kombe la Cecafa kwa  chipukizi walio chini ya umri wa miaka

Read more
Michezo 

Kenya U 17 yaning’inia Rwanda michuano ya CECAFA

18 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CECAFA, fkf, Kenya

Chipukizi wa Kenya walio chini ya umri wa miaka 17 wanahitaji maombi  mengi  na muujiza Ijumaa  ili kufuzu kwa nusu

Read more
Michezo 

Uganda yaipakata Kenya 5-0 na kutinga nusu fainali CECAFA U 17

16 December 202016 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CAF, Cecafa u 17, fkf, FUFA

Mabingwa watetezi Uganda wamefuzu kwa nusu fainali ya michuano ya kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 17 

Read more
Michezo 

CECAFA U 17 kuanza kutimua vumbi Jumapili

13 December 202013 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CAF, Cecafa u 17

Michuano ya CECAFA  kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 17 kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la Afcon mwaka ujao

Read more
Michezo 

CECAFA U 17 kuanza kutimua vumbi Jumamosi nchini Rwanda

11 December 202011 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, CAF, Cecafa u 17

Michuano ya kuwania kombe la Cecafa kwa vijana wasiozidi umri wa miaka 17 itaanza Jumamosi hii mjini Kigali Rwanda huku

Read more
Michezo 

Chipukizi wa Kenya chini ya umri wa miaka 17 kuingia kambini Jumanne kujiandaa kwa CECAFA

23 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, Cecafa u 17, Kenya

Timu ya taifa ya Kenya kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 17  inatarajiwa kuripoti kambini Jumanne kujiandaa kwa mashindano ya

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version