Nadal amwadhibu Djokovic na kunyakua taji ya French Open

Mhispania Rafael Nadal alimlemea mchezaji bora ulimwenguni Novak Djokovic wa Serbia na kutwaa taji ya mwaka huu ya French Open katika fainali ya wanaume iliyosakatwa Jumapili jioni.

Nadal alimshinda Djokovic seti 3-0 za 6-0,6-2 na 7-5 likiwa taji lake la 13  katika mashindano ya French open maarufu kama Roland Garros na kusawazisha rekodi ya  Mserbia huyo huku wote wakiwa wamenyakua mataji 20 ya Grand slam.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *