Kenya na Uganda kuzindua uhasama Cecafa U 17

Timu ya taifa ya Kenya kwa chipukizi wasiozdi umri wa miaka 17, imepangwa kundi moja na Uganda  kwenye mashindano ya kuwania kombe la Cecafa kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 17 yatakayoandaliwa nchini Rwanda baina ya Desemba 13 na 18 mwaka huu.

Kenya imo kundi B pamoja Uganda  na Ethiopia .

Wenyeji Rwanda wamo kundi  A pamoja na  Eritrea, Ethiopia, na Sudan Kusini wakati kundi C likisheheni   Sudan, Djibouti, na  Tanzania.

Timu  bora kutoka kila kundi na timu bora kutoka makundi yote zikitinga nusu fainali.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *