Skip to content
Thursday, April 15, 2021
Latest:
  • Vifo 26 zaidi vyaripotiwa Kenya kutokana na maradhi ya COVID-19
  • Oooh Nyumbani ni nyumbani David Ouma ateuliwa naibu kocha wa SOFAPAKA miaka 8 baade
  • Kenya yaadhimisha siku 100 , kuanza kwa michezo Olimpiki ya Tokyo
  • Nahodha wa Uganda Dennis Onyango astaafu soka kimataifa
  • Maafisa wa KWS wanasa mashua iliyotekeleza uvuvi haramu Tana River
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Michezo

Michezo 

Oooh Nyumbani ni nyumbani David Ouma ateuliwa naibu kocha wa SOFAPAKA miaka 8 baade

14 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments David Ouma, Elly Kalekwa, FKFPL, Sofapaka Fc

David Ouma ameteuliwa kuwa naibu kocha wa mabingwa wa ligi kuu mwaka 2009  Sofapaka inayoshiriki ligi kuu ya Kenya, akirejea

Read more
Michezo 

Kenya yaadhimisha siku 100 , kuanza kwa michezo Olimpiki ya Tokyo

14 April 202114 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments IOC, Nock

Kenya imejiunga na ulimwengu Jumatano kusherehekea siku 100 kabla ya kuanza rasmi kwa makala ya 32 ya michezo ya Olimpiki

Read more
Michezo 

Nahodha wa Uganda Dennis Onyango astaafu soka kimataifa

14 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Cranes, Dennis Onyango, FUFA, uganda

Nahodha wa muda mrefu wa timu taifa ya Uganda Dennis Onyango amestaafu soka ya kimataifa. Onyango ambaye amekuwa kipa chaguo

Read more
Michezo 

Elly Ajowi atuzwa mwanaspoti bora wa SJAK mwezi Machi

14 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments BFK, Elly Ajowi, LG, SJAK

Bondia Elly Ajowi ametawazwa mwanaspoti bora wa mwezi Machi katika tuzo za kila mwezi za chama cha wanahabari wa michezo

Read more
Michezo 

Kocha wa Togo Claude Le Roy ang’atuka baada ya kuwa usukani kwa miaka mitano

14 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Claude Re Roy, FTF, Togo

Kocha wa Togo Claude Le Roy amejiuzulu baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano huku akishindwa  kuifuzisha kwa fainali

Read more
Michezo 

Vipusa wa soka kutoka Chile na China wafuzu kwa michezo ya Olimpiki

14 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments IOC, Tokyo2020 Olympics

Timu za Chile na China zilijikatia tiketi kwa michezo ya Olimpiki mjini Tokyo Japan baada ya kusajili ushindi Jumanne usiku.

Read more
Michezo 

Chelsea na PSG zafuzu nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya licha ya kushindwa

14 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments Bayern Munich, Chelsea, FC Porto, PSG, uefa, Uefa champions league

Paris St Germain ya Ufaransa  na Chelsea ya Uingereza zimetinga nusu fainali ya kombe la ligi ya mabingwa barani ulaya

Read more
Michezo 

Droo ya robo fainali ya mataji ya Afrika kuandaliwa April 30

13 April 202113 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Champions league, CAF confederation cup

Shirikisho la kandanda Afrika limetangaza kuandaa droo ya mechi za kwota fainali kuwania mataji ya ligi ya mabingwa na kombe

Read more
Michezo 

Fahamu timu 8 zitakazopiga robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika

13 April 202113 April 2021 Dismas Otuke CAF, Caf Champions league

Vilabu vinane vitakavyocheza kwota fainali ya ligi ya mabingwa Afrika ,imebainika kufuatia kumalizika kwa mechi za makundi Jumamosi iliyopita. Timu

Read more
Michezo 

Charles Okere ateuliwa kocha wa Harambee Stars

13 April 202113 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments Charles Okere, fkf, Harambee starlets

Naibu kocha wa Tusker Fc Charles Okere ameteuliwa  kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya wanawake Harambee Starlets. Okere

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version