Skip to content
Wednesday, January 27, 2021
Latest:
  • Ulinzi Stars waiangusha Mathare United huku Gor wakiiparuza Zoo Fc ligi kuu FKF
  • Mwanamke ashtakiwa Kilifi kwa madai ya wizi wa mtungi wa gesi
  • Waathiriwa waliopoteza makazi kufuatia kimbunga cha Eloise nchini Msumbiji wakusanyika Guara Guara
  • Raila apigia debe ripoti ya BBI Githurai
  • Watu 130 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Habari

Habari 

Mwanamke ashtakiwa Kilifi kwa madai ya wizi wa mtungi wa gesi

27 January 202127 January 2021 James Kombe 0 Comments Calvin Omondi, Gesi, Kilifi, Sifuna Daniel Sitati, Stella Mosy

Mwanamke mmoja amefikishwa mahakamani baada ya kudaiwa kuiba mtungi wa gesi kutoka kwa nyumba ya jirani yake katika eneo la

Read more
Habari Uncategorised 

Raila apigia debe ripoti ya BBI Githurai

27 January 202127 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Githurai, Nairobi, Raila Odinga

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amepeleka kampeni za kupigia debe mpango wa maridhiano wa BBI katika eneo la

Read more
Habari 

Watu 130 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19

27 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya humu nchini imetangaza visa vipya 130 vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19, kutokana na sampuli 4,918 zilizopimwa

Read more
Habari 

Monica Juma: Kenya haiko tayari kuwaondoa wanajeshi wake nchini Somalia

27 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Monica Juma, Nanyuki

Kenya imetupilia mbali wazo la kuwaondoa wanjeshi wake nchini Somalia licha ya mzozo wa kidiplomasia unaoshuhudiwa kwa sasa baina ya

Read more
Habari 

Chama cha walimu cha KNUT chalaumu kile cha KUPPET kwa kutotetea haki za walimu

27 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments KNUT, KUPPET, TSC, Wilson Sossion

Chama cha walimu cha KNUT kimekishtumu kile cha walimu wa sekondari na vyuo KUPPET kwa kuingilia mzozo baina ya chama

Read more
Habari 

Viongozi wa Jubilee Kiambu wamtetea Gavana Nyoro dhidi ya madai ya kubanduliwa

27 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments BBI, James Nyoro, Jubilee

Maafisa wa chama cha Jubilee katika kaunti ya Kiambu wamemtetea gavana James Nyoro wakisema mipango ya wanachama wa bunge la

Read more
Habari 

Soko jipya la Githurai lakumbwa na utata wa ugavi wa vibanda

27 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Githurai, Raila Odinga, Vibanda

Mamia ya wafanyabiashara katika mtaa wa Githurai kaunti ya Kiambu siku ya Jumanne walivamia jengo la soko jipya la kisasa

Read more
Habari 

Serikali yatakiwa kuhusisha wadau wote katika oparesheni ya Kapedo

27 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Kapedo, North Rift, Wizi wa mifugo

Kongamano la mashirika yasio ya serikali katika eneo la North Rift linatoa wito kwa serikali kuwahusisha wadau wote yakiwemo mashirika

Read more
Habari 

Kenya yanakili visa vipya 141 vya COVID-19

26 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya humu nchini imeripoti visa vipya 141 vya maambukizi ya COVID-19 baada ya kupima sampuli 3,571 katika muda

Read more
Habari 

IEBC yaidhinisha mswada wa BBI

26 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Iebc, Katiba

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) imeidhinisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020, kupitia mpango wa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version