Skip to content
Wednesday, January 27, 2021
Latest:
  • Ulinzi Stars waiangusha Mathare United huku Gor wakiiparuza Zoo Fc ligi kuu FKF
  • Mwanamke ashtakiwa Kilifi kwa madai ya wizi wa mtungi wa gesi
  • Waathiriwa waliopoteza makazi kufuatia kimbunga cha Eloise nchini Msumbiji wakusanyika Guara Guara
  • Raila apigia debe ripoti ya BBI Githurai
  • Watu 130 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Burudani

Burudani 

Suzanna Owiyo anaomboleza

25 January 2021 Marion Bosire 0 Comments King Kaka, Kisumu 100, Suzanna Owiyo, Willy Mutunga

Mwanamuziki Suzanna Owiyo amefiwa na babake mzazi na yeye ndiye alijukikanisha hayo kupitia Twitter. Mwimbaji huyo wa mtindo wa Benga

Read more
Burudani 

Mwanamuziki mashuhuri wa Mugithi aaga dunia

25 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Mugithi, Salim Junior, Salim Senior

Mwanamuziki kwa jina Timothy Njuguna,maarufu kama Mighty Salim ameaga Dunia siku moja tu baada ya kuandaa sherehe ya kumkumbuka kakake

Read more
Burudani 

KLM Azindua Video ‘Mungu Saidia’ Akisema Ukombozi wa Afrika ni Sasa Hivi

24 January 202125 January 2021 Jared Ombui 0 Comments charlotte o'neal, kaa la moto, kenda, Kesi, klm, mama c, msafiri, mungu naomba

Mwanzo wa wikii hii Msanii wa Hiphop Kaa la Moto (KLM) alizindua video ijulikanayo kama ‘Mungu Saidia’. Ingawa video hiyo

Read more
Burudani 

Lupita Nyong’o ajibu madai ya waziri Balala

22 January 202123 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Lupita Nyong'o, Ministry of Tourism Kenya, Najib Balala, Naomi Campbell

Muigizaji maarufu ulimwenguni mzaliwa wa Mexico mwenye asili ya Kenya Lupita Nyong’o anaonekana kushangazwa na madai ya waziri wa utalii

Read more
Burudani Kimataifa 

Don Jazzy azindua mwanamuziki Ayra Starr

22 January 202123 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Association of Stingy Men of Nigeria, Ayra Starr, Don Jazzy, Mavin Records, Nigeria, Rema

Mtayarishaji wa muziki nchini Nigeria ambaye pia ni mwanamuziki Michael Collins Ajereh maarufu kama Don Jazzy ametangaza ujio wa mwanamuziki

Read more
Burudani 

Beenie Man na krystal watengana

22 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Beenie Man, Jamaica, Krystal Tomlison

Mwanamuziki wa Jamaica Beenie Man na mpenzi wake ambaye pia ni mwanasiasa Krystal Tomlinson wameachana katika kile kinachoonekana kuwa utengano

Read more
Burudani 

Columbus Short kuigiza kama Martin Luther King Jr

22 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Columbus Short, Ledisi, Mahalia Jackson, Martin Luther King Jr, Remember Me

Muigizaji wa Marekani kwa jina Columbus Short ni mwingi wa furaha baada ya kupata nafasi ya kipekee ya kuigiza kama

Read more
Burudani 

Jose Chameleon akosa umeya wa Kampala

21 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Jose Chameleone, Kampala, Lord Mayor Erias Lukwago, Pallaso, uganda, Weasel

Uchaguzi wa Umeya nchini Uganda uliandaliwa jana tarehe 20 mwezi Januari mwaka huu wa 2021 na wala sio tarehe 14

Read more
Burudani 

Sukari, Zuchu

21 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Khadija Kopa, Tanzania, Wasafi fm, WCB, Wema Sepetu, Zuchu

Zuchu mwanamuziki anayeangaziwa zaidi katika kampuni ya WCB nchini Tanzania ana kibao kipya kwa jina “Sukari” ambacho alikiachia rasmi kwenye

Read more
Burudani 

Mshairi wa umri mdogo zaidi wa uapisho wa Rais Marekani

21 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Amanda Gorman, America, Havard University, Joe Biden, Kamala Harris, One Pen One Page, Oprah Winfrey

Mwanadada Amanda Gorman wa miaka 22 tu amezungumziwa sana na kupata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii ulimwenguni kote kutokana na

Read more
  • ← Previous
  • Next →

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version