Bidco United wakaangwa na wanabenki KCB

Klabu ya KCB imedumisha rekodi ya asilimia 100 ligini msimu huu baada ya kuwakaanga Bidco United bao 1-0 katika mechi ya mapema Jumamosi ya ligi kuu  FKF katika uwanja wa Kasarani.

Timu zote zilitoshana nguvu kipindi cha kwanza,kabla ya Kcb kuimarisha mchezo wao katika kipindi cha pili ndiposa wakajipatia bao la dakika ya 49 kupitia kwa mshambulizi Reagan Otieno.

Kcb wanaongoza jedwali baada ya mechi 6 wakizoa pointi 18.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *