Skip to content
Thursday, April 15, 2021
Latest:
  • Vifo 26 zaidi vyaripotiwa Kenya kutokana na maradhi ya COVID-19
  • Oooh Nyumbani ni nyumbani David Ouma ateuliwa naibu kocha wa SOFAPAKA miaka 8 baade
  • Kenya yaadhimisha siku 100 , kuanza kwa michezo Olimpiki ya Tokyo
  • Nahodha wa Uganda Dennis Onyango astaafu soka kimataifa
  • Maafisa wa KWS wanasa mashua iliyotekeleza uvuvi haramu Tana River
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Author: Tom Mathinji

Habari 

Naibu Rais William Ruto awahimiza wakenya kudumisha Amani na Umoja

13 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Ramadhan, SUPKEM, William Ruto

Naibu wa rais William Ruto ametuma risala ya heri njema kwa waislamu wote wanapoanza mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kwenye ujumbe

Read more
Habari 

Visa 991 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini

13 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Wizara ya afya imesema kuwa watu 991 zaidi wameambukizwa virusi vya Covid-19, kutokana na sambuli 6,417 zilizopimwa katika muda wa

Read more
Habari 

Moses Kuria na washtakiwa wenza waachiliwa kwa dhamana ya shilingi 75,000

13 April 202113 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Kiambu, Moses Kuria

Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria pamoja na watu wengine -29, wamekiri mashtaka yaliyohusishwa na ukiukaji kanuni za kuzuia msambao

Read more
Habari 

Abdulkadir Haji ameapishwa kuwa Seneta mpya wa kaunti ya Garissa.

13 April 202113 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Abdulkadir Haji, Garissa, Yusuf Haji

Abdulkadir amechukua mahala pa babake marehemu Yusuf Haji aliyeaga dunia mwezi Februari mwaka huu. Abdul aliidhinishwa na viongozi, wazee na

Read more
Kimataifa 

India yaidhinisha chanjo ya Sputnik V kukabiliana na Covid-19

13 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covishield, Oxford-AstraZeneca., Sputnik V

Chanjo ya tatu dhidi ya ugonjwa wa covid-19 imeidhinishwa nchini India, wakati ambapo kumeripotiwa wimbi la pili na ambalo ni

Read more
Habari 

Bei ya Unga wa mahindi inatarajiwa kupanda kutokana na uhaba wa mahindi nchini

13 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments CMA, Mahindi, Unga

Ushirikishi na mawasiliano duni kati ya chama cha wasiagaji nafaka-CMA na halmashauri husika katika sekta ya mahindi huenda ukasababisha uhaba

Read more
Habari 

Patricia Kameri-Mbote asailiwa wadhifa wa jaji mkuu

13 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Jaji Mkuu, Patricia Kameri-Mbote

Tume ya huduma za mahakama siku ya Jumanne inamsaili Profesa Patricia Kameri-Mbote kwa ajili ya wadhifa wa jaji mkuu. Profesa

Read more
Kimataifa 

Ismail Omar Guelleh achaguliwa bila kupingwa kuiongoza Djibouti

10 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Djibouti, Ismail Omar Guelleh

Kiongozi mkongwe wa Djibouti Ismail Omar Guelleh alichaguliwa tena kuwa rais kwa muhula wa tano kwa zaidi ya asilimia 98

Read more
Habari 

Visa vipya 1,030 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini

10 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Coronavirus, Covid-19, Mutahi Kagwe

Nchi hii imenakili visa vipya 1,030 vya maambukizi ya Covid-19,kutokana na sampuli 8,316 zilizopimwa katika muda wa saa 24 zilizopita.

Read more
Kimataifa 

Safari ya China katika kukabiliana na umaskini

10 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Su Mingjuan, Zhang Guimei

Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? Usawa wa kijinsia katika elimu ni muhimu kufanya umaskini ‘kutorithiwa’. Na Hassan

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version