Skip to content
Monday, January 18, 2021
Latest:
  • Mtandao warejeshwa Uganda baada ya kufungwa wakati wa uchaguzi mkuu
  • Mahakama yazuia kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa Kaimu Gavana wa Nairobi
  • Gor Mahia wazima Stima Kisumu
  • Taharuki yatanda Kapedo baada ya afisa wa GSU kuuawa na majambazi
  • Maambukizi ya COVID-19 yazidi kushuka huku watu 65 wakipatikana na ugonjwa huo
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Author: James Kombe

Kimataifa 

Bobi Wine sasa adai maisha yake yamo hatarini

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Bobi Wine, uganda, Yoweri Museveni

Mgombeaji urais wa mrengo wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema anahofia maisha yake. Hii ni baada ya mgombea huyo

Read more
Habari 

Zaidi ya familia 100 zapoteza makao Kwale baada ya nyumba zao kubomolewa

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Feisal Bader, Gombato, Issa Boy, Kwale

Zaidi ya familia 100 katika eneo la Gombato, Kaunti ya Kwale wameachwa bila makao baada ya makazi yao kubomolewa na

Read more
Habari 

Raila awaonya Wakenya dhidi ya ‘kuhadaiwa tena na Ruto’

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Raila Odinga, Soweto, William Ruto

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amewatahadharisha Wakenya dhidi ya kile alichokitaja kuwa kuhadaiwa kwa mara ya pili na

Read more
Habari 

Kenya yaripoti maambukizi mapya 80 ya COVID-19

17 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya humu nchini imeripoti visa vipya 80 vya maambukizi ya COVID-19 baada ya kupima sampuli 3,733 katika muda

Read more
Kimataifa 

Vitengo vya usalama nchini Marekani kukabiliana na maandamano mapya ya wafuasi wa Trump

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, FBI, Joe Biden, Marekani

Maafisa wa usalama nchini Marekani wamejiandaa kukabiliana na msururu wa maandamano ya wafuasi wa Rais Donald Trump. Inadaiwa kuwa wafuasi

Read more
Habari 

Joho, Kingi, walaumiwa kwa kuhujumu usajili wa chama kipya cha Pwani

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Ali Hassan Joho, Amason Kingi, Kilifi, Owen Baya, Paul Katana, Pwani

Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amewashutumu Gavana wa Kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho na mwenzake wa Kilifi Amason

Read more
Habari 

Kifo Kitandani: Mwanamume afariki katikati ya tendo la ndoa Mombasa

17 January 2021 James Kombe 0 Comments Changamwe, Mombasa, Mtwapa

Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 60 alifariki Jumamosi alipokuwa akifanya mapenzi na rafikiye wa kike katika eneo la Changamwe,

Read more
Kimataifa 

Maafa yaliyosababishwa na mtetemeko wa ardhi nchini Indonesia yafikia 56

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Indonesia, Mamuju, Mtetemeko wa ardhi, Sulawesi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mkasa wa tetemeko la ardhi nchini Indonesia imeongezeka hadi watu 56. Maelfu ya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta ampongeza Museveni kwa kuhifadhi kiti cha urais nchini Uganda

17 January 2021 James Kombe 0 Comments Bobi Wine, Rais Uhuru Kenyatta, uganda, Yoweri Museveni

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Uganda. Siku ya Jumamosi, Tume ya Uchaguzi nchini

Read more
Habari 

LSK yapinga vikali kuapishwa kwa Kananu kuwa Naibu Gavana wa Nairobi

17 January 2021 James Kombe 0 Comments Anne Kananu, LSK, Nairobi, Nelson Havi

Chama cha Wanasheria humu nchini (LSK) kimesema kitawasilisha kesi mahakamani kupinga hatua ya kuapishwa kwa Anne Kananu Mwenda kuwa Naibu

Read more
  • ← Previous
  • Next →

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version