Skip to content
Wednesday, January 27, 2021
Latest:
  • Ulinzi Stars waiangusha Mathare United huku Gor wakiiparuza Zoo Fc ligi kuu FKF
  • Mwanamke ashtakiwa Kilifi kwa madai ya wizi wa mtungi wa gesi
  • Waathiriwa waliopoteza makazi kufuatia kimbunga cha Eloise nchini Msumbiji wakusanyika Guara Guara
  • Raila apigia debe ripoti ya BBI Githurai
  • Watu 130 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Author: James Kombe

Habari 

Mwanamke ashtakiwa Kilifi kwa madai ya wizi wa mtungi wa gesi

27 January 202127 January 2021 James Kombe 0 Comments Calvin Omondi, Gesi, Kilifi, Sifuna Daniel Sitati, Stella Mosy

Mwanamke mmoja amefikishwa mahakamani baada ya kudaiwa kuiba mtungi wa gesi kutoka kwa nyumba ya jirani yake katika eneo la

Read more
Kimataifa 

Waathiriwa waliopoteza makazi kufuatia kimbunga cha Eloise nchini Msumbiji wakusanyika Guara Guara

27 January 202127 January 2021 James Kombe 0 Comments Buzi, Eloise, Guara Guara, Msumbiji

Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Buzi nchini Msumbiji wamekita kambi katika kituo cha utawala cha Guara Guara wakisuburi kuopolewa baada ya

Read more
Habari Uncategorised 

Raila apigia debe ripoti ya BBI Githurai

27 January 202127 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Githurai, Nairobi, Raila Odinga

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amepeleka kampeni za kupigia debe mpango wa maridhiano wa BBI katika eneo la

Read more
Habari 

Watu 130 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19

27 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya humu nchini imetangaza visa vipya 130 vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19, kutokana na sampuli 4,918 zilizopimwa

Read more
Kimataifa 

Rais wa Afrika Kusini ashtumu ubinafsi wa mataifa tajiri duniani katika usambazaji wa chanjo za Korona

26 January 202126 January 2021 James Kombe 0 Comments Afrika Kusini, Chanjo, Cyril Ramaphosa, Korona

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, ameshtumu kile alichotaja kuwa ubinafsi wa mataifa matajiri zaidi duniani katika ununuzi wa chanjo

Read more
Habari 

Kenya yanakili visa vipya 141 vya COVID-19

26 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya humu nchini imeripoti visa vipya 141 vya maambukizi ya COVID-19 baada ya kupima sampuli 3,571 katika muda

Read more
Habari 

IEBC yaidhinisha mswada wa BBI

26 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Iebc, Katiba

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) imeidhinisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020, kupitia mpango wa

Read more
Habari 

KEMFRI yasema samaki kutoka Ziwa Nakuru si salama kwa binadamu

26 January 202126 January 2021 James Kombe 0 Comments KEMFRI, Linah Chebii Kilimo, Samaki, Wizara ya Kilimo, Ziwa Naivasha, Ziwa Nakuru

Samaki kutoka Ziwa Nakuru hawafai kulikwa na binadamu, kwa mujibu wa shirika la utafiti kuhusu viumbe wa majini – KEMFRI.

Read more
Habari 

Kibicho ajisalimisha kwa DCI baada ya Sonko kumhusisha na vitendo vya uhuni

25 January 202125 January 2021 James Kombe 0 Comments DCI, Dkt. Karanja Kibicho, Mike Sonko

Katibu katika Wizara ya Usalama wa Kitaifa, Dkt. Karanja Kibicho amejiwasilisha kwa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kuandikisha taarifa

Read more
Habari 

Hasara yawakodolea macho wakulima wa Meru kutokana na uvamizi wa nzige

25 January 202125 January 2021 James Kombe 0 Comments Buuri, Meru, Nzige, Wizara ya Kilimo

Wakulima katika sehemu za Ntumburi, Kithima na Maili Nane katika Eneo Bunge la Buuri Kaunti ya Meru wamepatwa na hofu kufuatia uvamizi wa nzige kwenye mashamba yao. Kulingana

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version