Habari

Zaidi ya waendeshaji boda boda 4,000 kupewa leseni za kidijitali
Zaidi ya wahudumu 4,000 wa boda boda katika Kaunti ya Laikipia wanatarajiwa kupokea leseni za kidijitali za uendeshaji piki piki.
BURUDANI

Wewe ni kakangu, ibaki hivyo! Wendy Williams azomea kakake
Mtangazaji wa runinga nchini Marekani kwa jina Wendy Williams jumatatu asubuhi alianza kipindi chake kwa njia ambayo wengi hawakutarajia. Aliamua
MICHEZO

Wanariadha 6 wanufaika na msaada wa masomo kutoka kwa ANOCA
Bingwa wa jumuiya ya madola katika mita 800 Wyclife Kinyamal,bingwa wa Olimpiki katika mita 3000 kuruka maji na viunzi Consenslus
KIMATAIFA

Mwanamke anayedaiwa kuiba kompyuta ya Spika Pelosi Marekani atiwa nguvuni
Mfuasi mmoja wa Donald Trump anayeshukiwa kuiba kipakatalishi kutoka kwa afisi ya Spika Nancy Pelosi wakati wa uvamzi wa jengo