Zinga la Asubuhi

‘Kijana’ Bonny Musambi, Cynthia Anyango na Owago Onyiro wakiwa A�kwenye vikorombwezo vya asubuhi…Ucheshi…Mahojiano motomoto pamoja na miziki ya Kikwetu. Kipindi hiki huangazia masuala ibuka na uchambuzi pia wa magazetini. Utajifunza pia mambo kadhaa katika ujumbe maalum! Sikiliza na usiulize mtu!