Wataalamu Wajadili Mbinu Za Usimamizi Wa Ardhi

Wataalamu wa ardhi wanakutana mjini Nairobi kutathmini sheria kuhusu ardhi.Maswala yanayojadiliwa ni pamoja na haki ya kumiliki ardhiA� haswa kwa wanawake,na mikakati ya kukabiliana na unyakuzi wa ardhi nchini.

Changamoto zilizoko kwenye sekta ya ardhi zinaaminika kusababishwa na mabadiliko ya tabia nchi,ujenzi wa muundo mbinu na juhudi za kupatikana nwa nishati nchini.Aidha kuna haja ya kuangazia umiliki wa ardhi kwani ndio mbinu za pekee za kupunguza umaskini.

Mwanasheria marufu Prof Patricia Mbote,na Mkurugenzi wa Shirika la mazingira ELCIA� Kennedy Orwa waliangazia umuhimu wa ardhi nchini Kenya.