UASU wakutana kujadili kuidhinishwa kwa pendekezo la mkataba wa pamoja

Uongozi wa chama cha wahadhari wa vyuo vikuu nchini-UASU unakutana katika chuo kikuu cha A�Kabianga ili kujadili A�kuidhinishwa kwa pendekdezo la mkataba wa pamoja wa maelewano wa mwaka wa 2017-2021 uliowasilishwa mwaka uliopita pamoja na utekelezaji kikamilifu wa mikataba ya pamoja ya maelewano ya ndani ya mwaka wa 2013-2017 kwa kila chuo kikuu. Siku ya mwisho ya utekelezaji wa mikataba hiyo ni tarehe 28 mwezi huu. Mazungumzo hayo yanaongozwa na katibu mkuu wa chama cha UASU Dr Constantine Wasonga. Naibu mwenyekiti wa UASU Prof Joseph A�Mberia ambaye alifichua habari hizi kwa shirika la utangazaji nchini KBC hata hivyo hakubainisha waliokuwa wakihudhuria mkutano wenyewe. Chama hicho kimefanya mikutano miwili na vyuo vikuu kuhusu mkataba wa mwaka wa 2017-2021. Kando na utekelezaji kikamilifu wa mkataba wa A�2017-22, wahadhiri hao pia wanaitaka serikali kulipa malimbikizi ya malipo yao ya uzeeni ya mkataba wa mwaka wa A�2010-2013 ambayo ni jumla ya shilingi bilioni 1.56 na yale ya mkataba wa kataba hiyo ya maelewano huku wakiitaka wizara ya afya kubadili uamuzi wa kuwaajiri wahadhiri kwa mikataba. Dr Wasonga amenukuliwa akitoa onyo kuwa chama hicho kitatoa arifa ya siku saba ya mgomo iwapo mkutano ambao ulipaswa kufanywa jana utakosa kutimiza matakwa yao.mwaka wa A�2013-2017 ambayo ni shilingi bilioni mbili. Aidha wanataka bima zao za afya kujadiliwa