Wagombea Wawili Wakuu Wa Chama Cha Democrats Watarajiwa Kufanya Mjadala

 

Wagombea wadhifa wa urais wa chama cha Democrats huko Marekani Hillary Clinton na Bernie Sanders wanatarajiwa kufanya mjadala wao wa kwanza wa ana kwa ana.Mjadala huo utafanywa katika jimbo la New Hampshire.Huo utakuwa mjadala wa kwanza wa wagombea wa chama hicho tangu wasalie wagombea wawili wakuu