Vuvuzela

Miziki ya Kikwetu, Jabulani Afrika, Bongo, Rhumba na Lingala … Kipindi hiki huangazia masuala ya jamii pamoja na kutoa suluhu kwa mijadala ya kumhusisha mwananchi. Kaa jioni na usiku chonjo…! Usilale! Wasikilize Mathias Momanyi, Hoka Mwahoka na Becky Cherotich AKA Rebecah. Kazi kwako!!