Ulimwengu Waadhimisha Siku Ya Misitu

Leo ulimwengu unaadhimisha siku ya misitu huku maudhui ya mwaka huu ikiwa ni misitu na maji. Siku hii husaidia kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa misitu na miti kwa ujumla.