Ulimwengu Waadhimisha Siku ya Maji

Leo ni siku yaA� majiA� duniani.Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa kuangazia umuhimu wa kusimamia rasimali za maji.Maduudhui ya mwaka huu ni kazi bora maji bora.