Ukumbi wa Spoti

Ungana naye A�Dismas Otuke, David Cheye, Patrick Muleka, Isaac Lemoka na George Waka…Wanachanganua masuala ya michezo na kukutangazia moja kwa moja kila jioni… Misimu mbalimbali ya michezo huangaziwa humu… Hapa kazi tu!