Top Mashariki

Leo katika Top Mashariki kuanzia mwendo wa saa nne asubuhi , jiunge na Mwinyi Kazungu, (mtetezi) katika KBC radio taifa upate uhondo.

Wasanii Adams stringer,Elisha Mwakima,David Ambole watakua studioni.Watajadili kuhusu uzinduzi wa miziki mipya ,Changamoto kwenye utayarishaji wa muziki na mengineo. Usikose!!!!