Tafrija Ya Taifa

Edmond Selassia na Malkia Sally Kwendo… Wanakupa raha jioni. Hapa unapata burudani, ucheshi na uchangamfu wa sauti zisizo kifani. Kila siku kuanzia saa kumi hadi saa mbili. Usikose!