Sally Kwendo Benson

Sally ni mtangazaji wa kipindi cha 'Tafrija ya Taifa' kiendacho hewani kila siku ya wiki kuanzia saa kumi za alasiri hadi saa mbili za usiku.

Sally alijiunga na shirika la utangazaji la KBC mwezi Februari mwaka wa 2014 .

Amekuwa kwenye taaluma ya utangazaji kwa takriban miaka saba sasa. Kando na kuwa mtangazaji stadi, Sally ana ucheshi ambao umevutia wasikilizaji wengi sana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *