Rudisha Ahifadhi Taji Lake kwenye Michezo ya Olimpiki

Kenya ilidhihirisha umaarufu wake kwenye mbio za kadiri pale Mwanariadha David Rudisha alipohifadhi taji lake kwenye mbio za mita mia nane zilozofanyika mjini Rio Je Janairo,Brazil. Rudisha alishinda mbio hizo kwa muda wa dakika 1.42.15 mbele ya Taflouki Makhloufi wa Algeria na Clayton Murphy . Ushindi wa Rudisha umeipeleka Kenya(2,5 0) hadi nafasi ya pili nyuma ya Marekani kwenye orodha ya Riadha .Mbio hizo zillianza kwa kasi mno pale Mwanariadha Alfred Kipketer alipochomoka kama swara kwa takriba mita 600 huku akifuatwa unyo unyo na Rudisha huku mwenzao Fergusson Rotich alichunguza wapinzani nyuma yao. Baada ya muda huo, Rudisha alishika gurudumu na kuongeza mwendo uliochokesha wapinzani wao na ilipofika mita 700 alichomoka na kushinda dhahabu. Fergusson Rotich aliishiwa na nguvu mwisho mwisho wa mbio hizo A�na kuchukua nafasi ya tano haku Kipketer akichukua nafasi ya saba baada ya kufanya kazi ya ziada ya kuwadhoofisha wapinzani wao na kumwezesha Rudisha kushinda taji.

Rudisha amekuwa Mkenya wa kwanza kuhifadhi taji lake kwenye mbio za mita 800. Dhahabu ya Rudisha ni ya tano tangu Kenya kushiriki kwenye Olimpiki(1988-Paul Ereng,1992-Paul Tanu,2008Wilfred Mungei,2012-Rudisha). Huu ni ushindi na fanaka usio na kifani kwa Kenya ambayo ni Mfalme wa mbio za kadiri na ndefu.

Kenya inataraji medali zaidi pale Faith Kipyegon atakapomenyana na mbabe wa Ethiopia, Genzebe Dibaba katika mbio za mita 1500 ya akina dada.

Bahrain auA� ukipenda kwa lugha nyigineA� KenyaA� B wako katika nafasi ya Sita mbele ya mibabe Afrika Kusini na Ethiopia.

Hii ni Orodha Kamili yaA� Ukumbi waA� Riadha:

 

 1. UNITED STATES 2 3 4= 9
  2. KENYA 2 3 0 = 5
  3. JAMAICA 2 0 2 = 4
  4. PR OF CHINA 1 2 0= 3
  5. GREAT BRITAIN & N.I. 1 1 2 =4
  6. 1 1 0 =2
  6. POLAND 1 1 0=2
  6. SOUTH AFRICA 1 1 0= 2
  9. ETHIOPIA 1 0 3= 4
  10. GERMANY 1 0 1= 2
  11. BAHAMAS 1 0 0 =1
  11. BELGIUM 1 0 0 =1
  11. BRAZIL 1 0 0 =1
  11. COLOMBIA 1 0 0 =1
  15. ALGERIA 0 1 0 =1
  15. FRANCE 0 1 0= 1
  15. GRENADA 0 1 0 =1
  15. NEW ZEALAND 0 1 0 =1
  15. VENEZUELA 0 1 0 =1
  20. CANADA 0 0 2= 2
  21. AUSTRALIA 0 0 1= 1
  21. HUNGARY 0 0 1 =1
  21. KAZAKHSTAN 0 0 1 =1
 2. UNITED STATES 2 3 4= 9
  2. KENYA 2 3 0 = 5
  3. JAMAICA 2 0 2 = 4
  4. PR OF CHINA 1 2 0= 3
  5. GREAT BRITAIN & N.I. 1 1 2 =4
  6. 1 1 0 =2
  6. POLAND 1 1 0=2
  6. SOUTH AFRICA 1 1 0= 2
  9. ETHIOPIA 1 0 3= 4
  10. GERMANY 1 0 1= 2
  11. BAHAMAS 1 0 0 =1
  11. BELGIUM 1 0 0 =1
  11. BRAZIL 1 0 0 =1
  11. COLOMBIA 1 0 0 =1
  15. ALGERIA 0 1 0 =1
  15. FRANCE 0 1 0= 1
  15. GRENADA 0 1 0 =1
  15. NEW ZEALAND 0 1 0 =1
  15. VENEZUELA 0 1 0 =1
  20. CANADA 0 0 2= 2
  21. AUSTRALIA 0 0 1= 1
  21. HUNGARY 0 0 1 =1
  21. KAZAKHSTAN 0 0 1 =1