Reggae Vibez

Miziki ya ‘Reggae’ motomoto kila alasiri… Hapa ni nyumbani. Msikilize J.D – Junior Dread akupe ngoma za kukuhondoa. Chagua unachotaka. Usicheze mbali!