Rais Uhuru Asema Anatilia Maanani Ugatuzi

Rais A�Uhuru Kenyatta amewahakikishiwa wakenya kuwa anatilia amaanani ufanisi wa mfumo wa ugatuzi. Akiwaongoza wakenya kuadhimisha maadhimisho ya saba ya sherehe za siku ya A�mashujaa.Rais A�Uhuru alisema kila sehemu ya nchi hii imegatuliwa. A�Huku akiwapongeza mashujaa waliopigania uhuru na wale waliojitolea kujenga nchi hii kwa njia yoyote ile.Rais alitoa wito wa kubuniwa kwa mrengo wa kisiasa utakaoleta wakenya pamoja. Alitaja mabingwa wa mashindano ya olimpiki ya walemavu Samuel Muchai na A�Jemima Songhok ambao alisema ushindi wao katika ngazi za kimataifa unafaa kufurahiwa na wote.