NTSA Yaingilia Kati Kupunguza Msongamano Wa Magari Barabarani

Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani leo asubuhi ilitekeleza shughuli ya kupunguza msongamano wa magari kwenye barabara yaA� Langa��ata. Akiongea wakati wa shughuli hiyo , naibu mkurugenzi wa kitengo cha usalama na uchunguzi wa visa vya ajali kanali mstaafu Khareed Aden alisema halmashauri hiyo imeingilia kati kusaidia idara ya trafiki kufuatia malalamishi kadhaa kutoka kwa waendeshaji magari wanaotumia barabara za Jogoo, Langaa��ata, Ngong naA� Kiambu