Mpango wa kuboresha msitu wa Mau waanzishwa

Wahifadhi wa misitu wameungana kupanda maelfu ya miche ya miti kwenye ardhi iliyoathiriwa na mmomonyoko wa udongo kwenye mpaka wa kusini-magharibi ya msitu wa Mau.Mpango wa kuboresha mandhari ya nchi hii unalenga kurejesha na kuhifadhi hekari elfu-60 katika eneo la kusini magharibi ya msitu wa Mau kufikia mwaka wa 2030 kwa kutafuta suluhu za kukabiliana na ukataji A�miti.